Naombeni ushauri kuhusu kozi na maisha ya chuo kikuu

Kwanza pole na hongera kwa kumaliza mtihan. kama tunavyojua n watu wachache sana wanamoyo na utayar wakutaka ushauri kuhusu chuo almost watu wengi wanajikutaga wao ndo wanajua Kila kitu/wengine hupotezwa sana wanapoenda kuaply vyuo stationary jambo la msingi inabid uisome tcu guide book New TCU Guide Book 2022 - TZCAREERS na kama hautaelewa kozi vizur unaweza kupitia hapa kupata maelezo ya kozi vizuri Course Archives - TZCAREERS
Najivunia kuwa na wakubwa , nashukuru Sana mkuu
 
University of Dar es salaam
Shule ya biashara(UDBS) watu wanasoma masomo ya biashara toka HGK,HGL,HKL,HGE,EGM,PCM,PCB,CBG, na ECA.

Both Bcom in
Accounting
Finance
Marketing
Human resources
Banking and Financial services
Tourism and hospitality management
Tulikua tunaizungumzia IFM sio Yudithim

Btw ok ok
 
Tulikua tunaizungumzia IFM sio Yudithim

Btw ok ok

Kwann watu wanaisema sana IFM ile ni institute na institute zinatoa course vizuri sababu zime specialize tusijichukulie wajuu sana, besides vyuo vyenyewe vyote vya Tz tia maji tia maji sion hata wa kumsema mwenzie
 
Hapana tofaut ya Chuo mfano SUA , Mzumbe na Ifm n kubwa

huko juu kuna mdau anasema mtu wa HGL eti anaeza soma Accounting

Kwa chuo kikuu ni kitu kigumu esp mtu ambae hana BAM eti asomee accountacy labda kwa ngazi ya certificate au diploma na sio degree

ndo tulikua tunabishania hiko
Mtu wa HGL anasoma Accounting degree vigezo wameweka principal pass mbili kwahiyo hapo wa kulaumiwa ni TCU wanaoweka vigezo vya hovyo.

Muhasibu wa HGL lazima awe tia maji tia maji system ya elimu iko hovyo in general, na sio TZ tupu ni dunia nzima... kila unavyozid kusoma ndio unagundua kuwa traditional education system ni upuuzi

Mfano: mtu ana degree Tz anakuuliza jinsi ya kuhifadhi vitu kwenye google drive! seriously !?
 
Mtajijua wenyewe
 
Mkuu Tusubir matokeo yako kwanza hila ukipata three usisahau kuandaa nauli ya kwenda TEKU
 
Hakuna HGK /

HGL anayesoma AEA, SUA.. kwa miaka hii naona ni PCB wapo tena wengi, CBG na kombi zote za sayansi kama nilivyokwambia.. kama vp ingia kwenye website ya SUA umalize porojo basi..
Kule Mazimbu Campus nadhani kuna course inaitwa Rural development. Hadi course za ualimu pia zipo japo sijacheki vizuri ni ualimu wa masomo gani. Mie nakumbuka jamaa yangu alisoma PGM akapata course ya ualimu. Mwingine alisoma Arts akapata Rural development. Labda kama zimeondolewa kwa sasa.
 
Ushauri wangu: ukifika chuo jitahidi u save boom likufae kama mtaji. Mtaani siyo poa, ajira hakuna na mitaji kizungumkuti
NB: Usilogwe usomee ualimu especial wa arts. Mtaani kuna zaidi ya laki 1 hawana ajira

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Mkuu boom la chuo halitunziki.. ile pesa ni ndogo mno.. Yaan kama hauna source nyingine ya fedha,, yaan Wazee wamekutupa mazima hyo sahau mkuu.. Yaan hujalipa pango, maji, umeme, kula, mahitaji ya kazi za masomo(Stationary)..
Huwezi Rudi na pesa Mtaani.. naandika hv kwa ushuhuda
 
Kule Mazimbu Campus nadhani kuna course inaitwa Rural development. Hadi course za ualimu pia zipo japo sijacheki vizuri ni ualimu wa masomo gani. Mie nakumbuka jamaa yangu alisoma PGM akapata course ya ualimu. Mwingine alisoma Arts akapata Rural development. Labda kama zimeondolewa kwa sasa.
Hawawezi kuzifuta.. ingia kwenye web yao
 
Back
Top Bottom