Naombeni ushauri kuhusu jambo hili

Naombeni ushauri kuhusu jambo hili

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
744
Reaction score
578
Niliachiwa kiwanja na marehemu baba mkubwa, kumbe kilikuwa na miaka 20 hakijalipiwa kodi, sasa ardhi wamenipa hilo Deni Mimi, nimekubali kulilipa Ila control number inaisha muda wake 22/5/2022 na hakuna kulipa nusu inatakiwa lilipwe Deni lote, ninachouliza hivi hakuna uwezekano wa kuongeza muda hata wa juma moja kwa hiyo namba ya malipo?

Msaada tafadhali
 
Ulipewa bill na bill mara nyingi ina expire ndan ya cku 14 au 7 kama sijakosea ikipita muda sio issue bro utaenda utapewa bill nyingine
 
We acha i-eksipae wala usipaniki siku ukiwa tayari nenda tena watakupa control namba ingine

Sio ishu kupata control namba
 
We acha i-eksipae wala usipaniki siku ukiwa tayari nenda tena watakupa control namba ingine

Sio ishu kupata control namba
Nashukuru sana kwa ushauri nitaufanyia kazi 🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom