Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

kaka hiki kibint kitakuburuza mithiri ya tambala la deki coz kishakusoma vzur kuwa ww ni *****, shetan alokudanganya kuwa kibint hicho kimeumbwa kwa ajili yako ww kakupoteza,kifup huduma zlivyopungua ndo kameamua kukutafuta, kama husikii endelea kukifuatilia.
 
jambaa ngoja nikushauri ki freemanson flani hivi
huyo bhana kashakula sana vyako so inabidi arudishe japo kwa mbali sawa sasa ww cha kufanya nenda kwa lengo la kula kisela ila yeye asijue then ukimbie, kwani ukikimbia sasa hivi moyo utakuuma sana huko uendako kwa alivyo vila
mfano tuna ona ulivyo sema ume mgaramia sana.
kuwa makini siku nyingine yasijirudie mwanamke usimwonyeshe hela atakumalizia mshahara wako
 
duh...
ukisikia babu jinga ndo wewe....

umsome nini hapo tena
shukuru yameisha,move on...
au unataka uchunwe mpaka urithi ????

haha umeona kweli ameanza kuona huduma hazitoi mlio tena anakuja na nyimbo za hapendwi tena kwa nyongeza hata hizo salam zife sasa.
 
hilo ni tatizo la watu wazima kutongoza watoto washule !hayo majibu sio ya mwanamke mwerevu kabisa!niambie ana umri gani!
 
mpotezee tu, coz wala hata haonekani kukujali, mwanamke anayependa kutoa maneno makali uwa sio chaguo langu
 
duh...
ukisikia babu jinga ndo wewe....

umsome nini hapo tena
shukuru yameisha,move on...
au unataka uchunwe mpaka urithi ????

The Boss yaan umenichekesha sana!kweli hapa ameshafanywa Babu Jinga!after maelezo yote hayo hivi can u dare even to ask?au ndo unabalehe nin mwenzetu?maana balehe huwa hatari sana!
 
Ushafanywa ATM, so unapopunguza mawasliano na kukatisha misaada anaoneka kumiss hongo! Xo Kama humuelewi mrudie na uongeze kiasi cha kuhonga ilhali hakupendi na wala humvutii kwa lolote!!
 
yaani SnowBall Mungu kanipa vidume 4 bora tu nivifundishe kurusha maji vibinti wanavyosoma navyo basi tu nijue moja manake wanaume wa siku hizi lol! bado tu kuwavesha shanga aisee. mimi klein wangu japo miaka 15 lakini anajua kumwaga swanga na kung'amua kama hapa ni changa la macho ama la. na sheria niliyompaa ni afadhali amtie mtu mimba kuliko nisikie kapigana na mwanaume mwenzie kisa mwanamke. yaani ikija kesi kammimba mtu kwangu poa ila eti kapigana kisa mwanamke yaani atachezea lupango sina mzaha katik hili.

wanawake wote hao halafu akapigane aisee atanikoma.
Duuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom