Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,912
Unatafuta kuf.irw@@ siyo?Sio kila mada lazima Uchangiee mzee kujikuta much know kumbe utopolo mwisho wa siku unapoteza vijana..
Unatafuta kuf.irw@@ siyo?Sio kila mada lazima Uchangiee mzee kujikuta much know kumbe utopolo mwisho wa siku unapoteza vijana..
Nimemaliza ADVANCE 2018 mwinyi secondary ipo mkuranga kwa hio cbg.Dogo kasome ipo vizuri tu kiukweli now days kozi za afya ni ngumu.ila ni easy kutoboa currently niko zangu Udom (Bsc Mta).Jamani mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka jana bahati nzuri nikafaulu kwa grade 2.18 na Nimechaguliwa kidato cha Tano.
Lakin wakuu nilikuw napenda sana nisome PCB lakin physics niliteleza nkapata "D" lakin Chemiry "C" na Biology "B" hivyo basi sikuchaguliwa hio PCB badala yake nimechaguliwa CBG; sasa najiuliza mtu akisoma CBG akafaul Vizur jeh!
Kuna kazi gan naweza kupata au ataenda kusomea nin chuon wakuu naombeni ushaur wengine wanasema CBG haina ajira hvyo nakata Tamaaa kabisa wakuu. Wengine wanasema bora niende chuo nkaone, isiwe tabu ngoja nisikie wana JF
Plz anayejua au aliyesoma hii comb anipe ushaur![]()
Sawa Mpiga Ramli!!!Mbona unatukana mkuu kisa CBG?? Kwa maelezo yako chuo chenyewe umeingia juzi halafu hutaki hata kusikia mawazo ya wengine!
Kichwani umejazaa mafii alafu unataka ucomment kuhusu elimu kapigw.....miti huko!!Unatafuta kuf.irw@@ siyo?
Unatafuta BashaKichwani umejazaa mafii alafu unataka ucomment kuhusu elimu kapigw.....miti huko!!
Acha ubishi wewe, unajiabishaHUu ni uongo!! CBG anasoma course kibao za afya ikiwemo na Nursing but some of courses hawezi kusoma kama Medical doctor na zingine hazizidi 4 hv.
So usimkatishe tamaa kabisa
Khaaaaah HKL na EGM walikua wanasoma MDUnaweza fanya reference apo dogo
Hii ni 2020 ya ndalichako sio JK ambapo HKL, EGM walikuwa wanasoma MDView attachment 1515245











Wanasemaga ni combination of beautiful girls aka cabbage




jamaniiiih lolLabd MD ina maana nyingine kwakeeKhaaaaah HKL na EGM walikua wanasoma MD![]()




Yaani nimecheka kwa sauti had watu wanashangaa, khaaaahLabd MD ina maana nyingine kwakee![]()




JF idumu milele, hakuna namna.Naona michambo kutoka kwa nazi moja lililoweka avatar ya kike. Eti TCU, NACTE labda kama kazi za kufagia.







khaaaaaah jamaniiiihIdumu milele amina, HKL ni jokes tu ila PCM, CBG, CBN, walikuwa wanasoma,Yaani nimecheka kwa sauti had watu wanashangaa, khaaaahJF idumu milele, hakuna namna.