Isotonic
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,615
- 4,012
Chukua ushauri wa manager wa makapuni.Jamani mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka jana bahati nzuri nikafaulu kwa grade 2.18 na Nimechaguliwa kidato cha Tano.
Lakin wakuu nilikuw napenda sana nisome PCB lakin physics niliteleza nkapata "D" lakin Chemiry "C" na Biology "B" hivyo basi sikuchaguliwa hio PCB badala yake nimechaguliwa CBG; sasa najiuliza mtu akisoma CBG akafaul Vizur jeh!
Kuna kazi gan naweza kupata au ataenda kusomea nin chuon wakuu naombeni ushaur wengine wanasema CBG haina ajira hvyo nakata Tamaaa kabisa wakuu. Wengine wanasema bora niende chuo nkaone, isiwe tabu ngoja nisikie wana JF
Plz anayejua au aliyesoma hii comb anipe ushaur![]()
Sikujiui hunijui ila nakushauri nenda karipot shuleni ukifika badilisha combination soma PCB, ukimaliza utasoma kozi zote za afya utajichagulia mwenyewe.
CBG utakuja kulia lia tena kuwa ukasome nn chuoni mambo yamebadilika zamani walikuwa wanasoma hadi MD, ila saiv in Environmental health, Medical lab in molecular biology and technology
