T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,294
- 44,753
Mengine yote sipingi wala sikatai lakini hili la kufanya kazi NACTE wala TCU nakataa.Dogo acha ujinga wewe, mimi nimefanya kazi NACTE zaidi ya miaka 5, saivi nipo TCU kwenye kitengo cha udahili. Ninacho kushauri nakielewa.
Ukisoma hiyo CBG yako utakosa vigezo vya kusoma medicine, Nursing, Pharmacy n.k
Isipokuwa utaweza kujiunga na Environmental Health tu.
Nimemaliza.