Naombeni ushauri kuhusu combination ya CBG

mwamba_ngori

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
251
Reaction score
295
Jamani mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka jana bahati nzuri nikafaulu kwa grade 2.18 na Nimechaguliwa kidato cha Tano.

Lakin wakuu nilikuw napenda sana nisome PCB lakin physics niliteleza nkapata "D" lakin Chemiry "C" na Biology "B" hivyo basi sikuchaguliwa hio PCB badala yake nimechaguliwa CBG; sasa najiuliza mtu akisoma CBG akafaul Vizur jeh!

Kuna kazi gan naweza kupata au ataenda kusomea nin chuon wakuu naombeni ushaur wengine wanasema CBG haina ajira hvyo nakata Tamaaa kabisa wakuu. Wengine wanasema bora niende chuo nkaone, isiwe tabu ngoja nisikie wana JF

Plz anayejua au aliyesoma hii comb anipe ushaur
 
CBG haina Ajira kivipi mkuu!?? Hiyo kasumba ya kusema Kwakuwa CBG hawasomi Afya ndio ikose Ajira au sio marketable ni ya kupuuzwa kuanzia sasa!

Niliposoma PCB tulimaliza 78 Ila waliosoma MD tu hawakufika hata 10 kiufupi wengi waliishia Education, Ukemia, Na Mambo mengine!!

Wewe kasome tu ukimaliza chuo ndio utajua unataka kuwa Nani!! Ila binafsi huwa naona A lvel n Kama kupoteza muda na kucheza kamari moja hatariii sana mkuu!!!
 
mwamba_ngori,

Kasome.

Nikozi Nzuri na isiyo na mzigo mzito kama PCB na yenye fursa nzuri tu.

- Ni Rahisi Kufaulu Kuliko PCB ( Hata ukiona hali imekuwa tete, unakomaa na Chemistry & Geography.

- Hata kama utasoma ualimu, kwa maso6 ya C&B uhitaji bado ni mkubwa.

- Pia kuna Bsc Pharmacy, Nursing, Labo et al
 
Jamani, mimi ni mwanafunzi niliye hitim mwaka jana 4m4 kwa bahati nzuri nkafaulu kwa grade 2.18 na Nimechaguliwa kidato cha Tano.

Lakin wakuu nilikuw napenda sana nisome PCB lakin physics niliteleza nkapata "D" lakin Chemiry "C" na Biology "B" hivyo basi sikuchaguliwa hio PCB badala yake nimechaguliwa CBG; sasa najiuliza mtu akisoma CBG akafaul Vizur jeh!

Kuna kazi gan naweza kupata au ataenda kusomea nin chuon wakuu naombeni ushaur wengine wanasema CBG haina ajira hvyo nakata Tamaaa kabisa wakuu. Wengine wanasema bora niende chuo nkaone, isiwe tabu ngoja nisikie wana JF

Plz anayejua au aliyesoma hii comb anipe ushaur
Achana na CBG mkuu, haina future kwa sasa. Kama unapesa kasome chuo cha afya. Kwanza hiyo GEOG hapo haina kazi yeyote kwenye afya.

Sasa unakwenda kusoma CBG ili uje usome unesi, hilo GEOG linatumika wapi kwenye huo unesi.

Kwa ushauri tu kasome dip ya afya
 
Jamani mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka jana bahati nzuri nikafaulu kwa grade 2.18 na Nimechaguliwa kidato cha Tano.

Lakin wakuu nilikuw napenda sana nisome PCB lakin physics niliteleza nkapata "D" lakin Chemiry "C" na Biology "B" hivyo basi sikuchaguliwa hio PCB badala yake nimechaguliwa CBG; sasa najiuliza mtu akisoma CBG akafaul Vizur jeh!

Kuna kazi gan naweza kupata au ataenda kusomea nin chuon wakuu naombeni ushaur wengine wanasema CBG haina ajira hvyo nakata Tamaaa kabisa wakuu. Wengine wanasema bora niende chuo nkaone, isiwe tabu ngoja nisikie wana JF

Plz anayejua au aliyesoma hii comb anipe ushaur

KASOME MAMBO HUBADILIKA , MFANO CBG ALIKUA ASOMI Veterinary medicine
SUA BUT NOW ANOSOMA VIGEZO VIMEBADILISHWA CHAMSINGI SOMA UFAULU VIZURI
 
Achana na CBG mkuu, haina future kwa sasa. Kama unapesa kasome chuo cha afya. Kwanza hiyo GEOG hapo haina kazi yeyote kwenye afya.

Sasa unakwenda kusoma CBG ili uje usome unesi, hilo GEOG linatumika wapi kwenye huo unesi.

Kwa ushauri tu kasome dip ya afya
Inavyoonesha wewe hizi fani za afya unaziskia tu huzijui
 
Dogo acha ujinga wewe, mimi nimefanya kazi NACTE zaidi ya miaka 5, saivi nipo TCU kwenye kitengo cha udahili. Ninacho kushauri nakielewa.
Ukisoma hiyo CBG yako utakosa vigezo vya kusoma medicine, Nursing, Pharmacy n.k
Isipokuwa utaweza kujiunga na Environmental Health tu.

Nimemaliza.
Uache kuongea mambo usiyoyajua wewe. TCU hawawez kuwa na mtu kama wewe usieelewa kitu
 
Mara nyingine lazima tutor ushauri unaofaa Kama kwel umesoma Advance na ujamaliza uwezi toa ushauri Kama zilizo tolewa na watangulizi wangu hapo juu binafsi yangu nimesoma CBG na shule niliosima Kuna PCB lkn nakumbuka kwa record zangu Hadi tumehitimu na kujiunga na vyuo vikuu hii kasumba ili tawala Sana na ikapelekea uhasama wa halii ya juu shuleni lkn baada ya matokeo kulikuwa na one 10 za CBG na one mbili za PCB baada ya udahilinwa vyu vikuu kukamilika walioenda course za MD, pharmacy.Dental,nusry.Radiology wali kuwa Saba tu katika Darasa lenye WANAFUNZI 80 wa PCB na Wale wa CBG walioenda course za BVM, microbiology, Molecular biology and Biotechnology.BSc.in chemistry, Agronomy, laboratory science... Geology, Artcheture, Ni zaidi ya Asilimia 78% ya wale walio fauhulu vzriii sana na baadhi ya PCB tulikutana nao katika course hizo hizi Sasa katika mazingira ya Aina hii ambao Kuna kasumba Kama hii utasemaje CBG Haina fursa may be hazina fursa kwa course za Afya Tena ni kwa hapa kwetu TZ bx ukivuka mipaka utakutana na Mambo mengne zaid
 
Shukran sana mkuu

Mkuu nikikuwa naomba msahada hapa unijuze kidogo mana nimeona umesema unafanya kazi TCU now kitendo cha udahili mm shida yangu ni hii kwa mfano mwaka jana niliomba chuo kimoja tu na nikabahatika kuchaguliwa lakini sikwenda hata kuripoti na mwaka huu nataka niombe tena chuo kingine kunashida hapo?
 
Nakupa swali mkuu,
Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaosoma PCB na CBG wanasomea hizo comb ili wawe wakina nani?

Je wewe mara baada ya wewe kuhitimu hiyo comb yako hukuitamani doctor of medicine? Je kama umesha malza bila kusoma kozi ya afya, Je una raha na hiyo bachelor yako?

Mweleze ukweli kijana kwamba hatoweza kujiunga, na kozi za afya ila hizo zingine atajiunga nazo. Ila ajiandaye tu kwenye kuhangaika kupata kazi
 
Yeye aseme anataka kuwa nani kwanza ndipo rumshauri..........au mnasemaje???
 
Nakupa swali mkuu,
Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaosoma PCB na CBG wanasomea hizo comb ili wawe wakina nani?

Je wewe mara baada ya wewe kuhitimu hiyo comb yako hukuitamani doctor of medicine? Je kama umesha malza bila kusoma kozi ya afya, Je una raha na hiyo bachelor yako?

Mweleze ukweli kijana kwamba hatoweza kujiunga, na kozi za afya ila hizo zingine atajiunga nazo. Ila ajiandaye tu kwenye kuhangaika kupata kazi
Kaka kiukwel Mimi tokea nasoma hiyo CBG yangu sikuwa na mawazo kbx yakusoma doctor isipokuwa Mimi nilitamani kusoma maswala ya Afya lkn katika nyanja ya maswala ya genetic na baada ya kuhitimu kidato Cha sita nilifanikiwa kupata cred ambazo kipekee zilinifanikisha kujiunga na Ile Ile course ya ndoto yangu ambayo Ni bancherol degree in molecular biology and Biotechnology UDSM Kaka so kuhusu kutamani course za Afya hasa udaktari cjawah
 
Mkuu nikikuwa naomba msahada hapa unijuze kidogo mana nimeona umesema unafanya kazi TCU now kitendo cha udahili mm shida yangu ni hii kwa mfano mwaka jana niliomba chuo kimoja tu na nikabahatika kuchaguliwa lakini sikwenda hata kuripoti na mwaka huu nataka niombe tena chuo kingine kunashida hapo?
Hawezi kukujibu uyo asikudanganye hata iyo TCU haijui ilivyokaa kinomsaidia iyo simu yake kuwa na button za kuandikia tu hajui lolote uyo. Hizo sms zake tu zinaonesha kama sio mzoefu wa masuala ayo.
 
Acha zarau dogo, sasa alishakuja inbox na nilisha msaidia wewe endelea tu kubwekabweka
 
Hawezi kukujibu uyo asikudanganye hata iyo TCU haijui ilivyokaa kinomsaidia iyo simu yake kuwa na button za kuandikia tu hajui lolote uyo. Hizo sms zake tu zinaonesha kama sio mzoefu wa masuala ayo.
Endelea na hiyo CGB utakuja kutupa mrejesho kwenye jukwaa la kazi na tenda.
 
Kwa ushauri wangu na uzoefu wangu maana nimepitia huko.
Nakushauri angalia wewe unataka kusoma nini/unataka kuwa nani/unataka kufanya kazi gani then tafuta chuo cha kitu unachohitaji kasome Diploma.
Ukimaliza Diploma utaamua sasa wawe mwenyewe kama uendelee na Bachelor au uingie mtaani kuanza kupambana.
The advantage ya kwenda kusoma Diploma ni kwamba ukimaliza unaweza kuajirika/kujiajiri/kutafuta kazi compared na ukienda advance ukimaliza huwezi kufanya chochote.
 
Ukwel ni kwamba matokeo yako ndo yata determine future yako

Way back nilipo shule kuna jamaaa alikuwa pcb tulikuwa tunamuita doctor ila aliangukia ualimu pale DUCE na kipindi kile darasa la cbg walitoa cream 7 zikaenda MD tena wengine wamesha kuwa maspecialist

So mm naona ukiamua kusoma advance hakikisha unafaulu vizur maana ukizingua utatumia chet cha 4m 4 na itakuwa ulieenda kupoteza muda advance
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom