NAKUJIBU KAMA IFUATAVYO
Hiyo hela umetapeliwa kwa vigezo vifuatavyo
1: Hakuna uandikishaji wa kuruta kwa ajili ya depo mpya(kuna depo ipo inaendeshwa lakini ilishasajiliwa na watu walishapimwa, kukaguliwa vyeti na walishaanza mafunzo zaidi ya miezi miwili sasa)
2:Jwtz hawana utaratibu wa get pass ile sio shirika la mkonge askari wana vitambulisho na Kama ni msahiliwa huhitaji kitambulisho.
3: usahili wa jeshi haufanywi wala haujazishwi fomu ni vipimo vya Afya,utendaji wa mwili, vyeti,fomu watajaza wanaokufanyia usahili sio Wewe.
4:HAKUNA NJIA YA KUJIUNGA NA JESHI BILA KUFANYA MAFUNZO YAO, HAKUNA NA HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU KUANZISHWA KWA JWTZ