Naombeni ushauri kaka na dada zangu

Kijana wa 2001 unahangaika na mapenzi aisee, tena kwa dem ambae kashamaliza chuo yuko mtaani[emoji16]. Hivi unajua mtaa ulivyo wa moto, acha huyo dada aolewe tu. Endelea kupambania course work kwanza, weekends tafuta kiwanja kizuri konga nyoyo na kina chino.
 
Kuna kijana wa 2005 huku mtaani kawapa mimba wasichana watatu kwa mpigo..

Msichana wa kwanza mimba miezi 8
Msichana wa pili mimba miezi 6
Mwanamke wa tatu anamiaka 30 mimba yake ina miezi 3..

Kuna madogo wako vzr
 
Kuna kijana wa 2005 huku mtaani kawapa mimba wasichana watatu kwa mpigo..

Msichana wa kwanza mimba miezi 8
Msichana wa pili mimba miezi 6
Mwanamke wa tatu anamiaka 30 mimba yake ina miezi 3..

Kuna madogo wako vzr
Safi sana dogo ana tope zito
 
Kuna kijana wa 2005 huku mtaani kawapa mimba wasichana watatu kwa mpigo..

Msichana wa kwanza mimba miezi 8
Msichana wa pili mimba miezi 6
Mwanamke wa tatu anamiaka 30 mimba yake ina miezi 3..

Kuna madogo wako vzr
Ujinga ujinga tu huo kaka! Na hapo unapata picha jinsi gani vijana hawajali afya zao. Kuna siku atapigisha shoti huyo!
 
Wanawake wengi wanakosa Skills za mahusiano any way mwanamke kukuvumilia inabidi iww ina flow automatic kwamba wewe useme tu huyu mwanamke kweli ananivumilia sio kuwe na sentences nyingi na rapsharapsha Kama mara akwambie natongozwa na wengi, naretewa barua, akwambie nakuvumia.....HEIIII usikubali kuwa na mahusiano ya kuonewa huruma kilichopo Sasa wewe upo kwenye kuonewa huruma ABORT MISSION mwambie kweupe tuachane Sina uwezo FULL STOP.

Mimi nishamuacha mwanamke anajua sina mkwanja kila Nikikutananae mara ningekuwa na 30,000 ningefanya hivi, nikipata 20,000 hivi Sasa Unaongea sentence za kuwa na shida na pesa then mwanaume wako nimekaa Happ meana unafanya Mimi nijione useless kwanamna nyengine unani attack kisaikolojia hii unaona kabisa wanawake hawana SKILLS ZA MAHUSIANO nikamchana wazi tuachane ABC.
 
Mwambie live kwa Sasa hauna uwezo wa kuoa japo unatamani kama ataweza akubali umuoe hivyo hivyo mfunge ndoa harusi mtafanya baadae ukipata pesa.
Hataki mwache aende usimzibie riziki zake.
 
Tafuta hela dogo achana na mapenzi yatakuharibia maisha yako tu.
 
Unasema ni mwanamke anaejielewa halafu anakutumia screenshot ya mitongozo.
Huyo hajielewi na atakusumbua sana, maana ana tabia ya kukufananisha wewe na wanaume wengine na hiyo ni mbaya sana.

Huna uwezo muache aolewe mkuu, wewe hadi ujipate yeye anaweza kua kazidi 25 yrs, je anaweza vumilia??
 
Dogo sijasoma comments za wengine, ila kama nitachosema ni marudio sanahani.

Fanya mambo mengine, especially ya kujiimarisha kwenye masomo na kiuchumi. Kama ni wako atakua wako, kama sio wako let it go.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…