Naombeni Ushauri juu ya maisha haya ninayoishi na mke wangu.

While ni kweli kwamba, kutokana na makuzi/malezi yake hiyo ndio tabia aliyofanikiwa kujikusanyia hadi sasa, na kubadili ni ngumu. Still u can do this;
1) Kumbadilisha ufikiri wake kuhusu maisha ya ndoa na mapenzi inabidi kubadili her daily routine.
2) Na kwanini ni mama wa nyumbani these times? Wakati anaweza kuwa partly mama wa nyumbani na partly helping with family businesses? Huko ataona wanawake wenzie wanavyojihangaisha for their husbands na akajifunza kitu.
3) Mchunguze vizuri anavyoishi, karidhika? Has she met her goals in life? Do u make her happy? Kwa sababu kama mtu akifurahi na huku akijua wewe ndio sababu ya furaha yake, Sioni ni kwanini asikufanyie unayotaka na zaidi na zaidi
4) Perharps thats how she loves a person, yani kukupenda wewe ndo vile anavyofanya(Thats how she is)

aisee hiyo no 4 ni kweli kabisa..nimekutana na wanawake wengi wanaoshindwa kuwa na furaha katika ndoa na kushindwa kutimiza yale waume zao wanayohitaji..
...katika maisha binadamu ana malengo yake..unakuta huyo mwanaume alimuhaidi huyu mwanamke kumkamilishia malengo yake ila mwisho wa siku anamweka nyumbani kama zigo la mchanga..
Hii hali inaweza ikabadilisha hisia za mwanamke na asione umuhimu wa kufanya chochote zaidi anaishi kimazoea na huku anaumia moyoni..
Wewe unatoka na brufukesi asubuhi yeye na kapu sokoni..
....kumbuka ahadi ulizotoa ukitimiza utahimarisha penzi..
 
Last edited by a moderator:
Nikufanyie wew then mi nifanyiwe nanani????????au ntoke nje ya ndoa na mie nikaambiwe pole na kazi za nyumban,nikapokelewe na kubembelezwa???
 
wewe upo humble?
Unaongea kwa sauti ya chini?
Au kwa kuwa unafanya kazi unadhani yeye mama wa nyumbani hachoki kwa kuwa kashinda kusugua miguu?

Kila utakacho akubali tu kwa kua hana akili?

Unataka kubembelezwa, je yeye unambembeleZa? Au yeye abembelezwe na nani?

Jichunguze
 
kazi za nyumbani zinachosha sana, mnapaswa kufanyiana hayo badala ya wewe kusubiri kufanyiwa. jirekebishe bro.

Jamaa anajua akioa yeye miguu juu ma------ chini

Mke ndo kiburudisho na housekeeper wake cum mlinzi plus kiwanda cha watoto
 
Kaka hapa hautopata ushauri wa maana, hili jukwaa wamejaa wanaojitia watetezi wa wanawake na wanawake wajuaji ambao hawajaingia kwenye ndoa. Mi ninauhakika hawa karibia wote wanaotoa maoni yao humu wao kwenye nyumba zao hawayafanyi haya.

Mi nakusapoti ndugu yangu mume ndani ya nyumba anahitaji heshma. Biashara ya kufokewa fokewa kama kinda usiikubali kabisa na jitahidi kuikomesha. Ushauri wangu ni kuwa peleka kwao huko akakae hata wiki 2 akiwa tayari kukuheshimu tu ndo arudi.
 
kwani mwanaume yupo peke yake....hahahaaa atasema akampumzishe wenzake wanaojua maana ya kutunza na kutunzana wachukue mali hiyo...
 
Ulivyoeleza kama job description vile. Vipi huyo ni mke au acting mke? Kwa nini usiseme tuwe tunabembelezana ila yeye hataki.
 
Kaka hapa hautopata ushauri wa maana, hili jukwaa wamejaa wanaojitia watetezi wa wanawake na wanawake wajuaji ambao hawajaingia kwenye ndoa. Mi ninauhakika hawa karibia wote wanaotoa maoni yao humu wao kwenye nyumba zao hawayafanyi haya.

Mi nakusapoti ndugu yangu mume ndani ya nyumba anahitaji heshma. Biashara ya kufokewa fokewa kama kinda usiikubali kabisa na jitahidi kuikomesha. Ushauri wangu ni kuwa peleka kwao huko akakae hata wiki 2 akiwa tayari kukuheshimu tu ndo arudi.

safi sana kaka,kubembeleza mwanamke asiejielewa ni ujinga,peleka kwao,asipojitambua mpge talaka,mwanawake kibaaaao kwa nn mtu ujitese?
 
kwani mwanaume yupo peke yake....hahahaaa atasema akampumzishe wenzake wanaojua maana ya kutunza na kutunzana wachukue mali hiyo...

mwanaume wa kuoa anaweza akawa peke yake lakin kama ni mwanaume wa kupiga mashine wako wengi,achague moja,awe na mwanaume wa kumuoa au awe na wanaume wa kumgegeda.
 
Pole sana Mkuu, lakini hayo ungeyataka ungetafuta mapema, na huyu mkeo labda haja na wazazi wake wakiishi kwa mapenzi Kama unayo yataka,sasa basi wewe ukiwa Kama mume mueleweshe kwa upendo binadamu unaweza kumpiga kila siku asielewe lakini ukamuelewesha kwa mapenzi akakuelewa na kukutii,
Pole pole kwa raha na hasa mkiwa faragh pale ndio mda muafaka wakuchomeka japo moja lako linalokukekera
Na utaona matunda yake....
 
Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya kistaarabu, kwa kuwa yeye ni mama wa nyumbani-nikitoka kazini awe ananiriwaza na kunipa pole na kazi! ikiwezekana hapa kunibembeleza kutokana na uchovu wa kutafuta pesa kwa ajili yake na familia yangu. Chakushangaza Hafanyi hivyo, jamani mimi sihitaji aingie gharama yeyote kwa ajili yangu nikunifanyia hayo tu? Kuhusu kumuheshim ninamuheshim sana sana na analijua hilo-ninamuita majina yote mazuri, ninambembeleza sana sana huku nikimueleza jinsi dunia ilivyo; lakini wapi! akijaribu kunifanyia hivyo basi ni week moja tu then anarudi vile vile alivyokuwa awali. HUYU MWANAMKE ANATATIZO GANI? NICHUKUE HATUA GANI?
Nawasilisha wana MMU wenzangu!

Huyo atakuwa amempata anayemgegeda zaidi yako!
 
mwanaume wa kuoa anaweza akawa peke yake lakin kama ni mwanaume wa kupiga mashine wako wengi,achague moja,awe na mwanaume wa kumuoa au awe na wanaume wa kumgegeda.

kuolewa kwani lazima bwanaa..yani mtu anataka afanyiwe kila kitu kama mkoloni...ila yeye kufanya hataki..
....
 
yn point yako imenigusa,for sure mwanaume naye mpenda namheshimu automatically but asipende kufanywa kama mfalme eboo....yn hapo mwnyw mtu unakuta una stress zako umejituliza tu unajitaftia solution jingine lnataka ulipunguzie strec zake et kisa mke wake,jmn khah,sipendi kweli,kila mtu shld handle mambo yake jmn smtym

kwa upande wa wanandoa, kila mmoja yuko responsible kwa mwenzake, na si vinginevyo!!

NAHISI MKE WANGU ATAKUJA PATA RAHA SANA! teh teh!
 
Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya kistaarabu, kwa kuwa yeye ni mama wa nyumbani-nikitoka kazini awe ananiriwaza na kunipa pole na kazi! ikiwezekana hapa kunibembeleza kutokana na uchovu wa kutafuta pesa kwa ajili yake na familia yangu. Chakushangaza Hafanyi hivyo, jamani mimi sihitaji aingie gharama yeyote kwa ajili yangu nikunifanyia hayo tu? Kuhusu kumuheshim ninamuheshim sana sana na analijua hilo-ninamuita majina yote mazuri, ninambembeleza sana sana huku nikimueleza jinsi dunia ilivyo; lakini wapi! akijaribu kunifanyia hivyo basi ni week moja tu then anarudi vile vile alivyokuwa awali. Daaah Alhamdulillah kumbe mm nina raha sana hayo inayohitaji kufanyiwa au kutekelezewa Mie ndio maisha halis ninayoishi na mke wangu tangu nimuoe nina bahat na ninampenda mke wangu
 
Back
Top Bottom