Naombeni Ushauri juu ya maisha haya ninayoishi na mke wangu.

mama wa nyumbani, aamke asubuhi asafishe nyumba, afue, aandae chai, akatafute mboga sokoni, apike chakula cha mchana, aoshe vyombo, apike chakula cha usiku (hapo tunaasume hana watoto)......................... bado ukirudi dume zima unataka kubembelezwa sijui kuliwazwa. hebu msichoshe wake zenu huko. wewe ofisini una kazi ya kubofya bofya computer tu. angalia hapo nani kachoka? wanaume wote wenye wake mama wa nyumbani mkirudi nyie ndio muwaliwaze wake zenu. kazi za nyumbani zinachoshaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
While ni kweli kwamba, kutokana na makuzi/malezi yake hiyo ndio tabia aliyofanikiwa kujikusanyia hadi sasa, na kubadili ni ngumu. Still u can do this;
1) Kumbadilisha ufikiri wake kuhusu maisha ya ndoa na mapenzi inabidi kubadili her daily routine.
2) Na kwanini ni mama wa nyumbani these times? Wakati anaweza kuwa partly mama wa nyumbani na partly helping with family businesses? Huko ataona wanawake wenzie wanavyojihangaisha for their husbands na akajifunza kitu.
3) Mchunguze vizuri anavyoishi, karidhika? Has she met her goals in life? Do u make her happy? Kwa sababu kama mtu akifurahi na huku akijua wewe ndio sababu ya furaha yake, Sioni ni kwanini asikufanyie unayotaka na zaidi na zaidi
4) Perharps thats how she loves a person, yani kukupenda wewe ndo vile anavyofanya(Thats how she is)

Are you a marriage counselor? Kama hujawa anza sasa fungua office sie tutakuwa tunawarefer watu wenye threads kama hii!
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya kistaarabu, kwa kuwa yeye ni mama wa nyumbani-nikitoka kazini awe ananiriwaza na kunipa pole na kazi! ikiwezekana hapa kunibembeleza kutokana na uchovu wa kutafuta pesa kwa ajili yake na familia yangu. Chakushangaza Hafanyi hivyo, jamani mimi sihitaji aingie gharama yeyote kwa ajili yangu nikunifanyia hayo tu? Kuhusu kumuheshim ninamuheshim sana sana na analijua hilo-ninamuita majina yote mazuri, ninambembeleza sana sana huku nikimueleza jinsi dunia ilivyo; lakini wapi! akijaribu kunifanyia hivyo basi ni week moja tu then anarudi vile vile alivyokuwa awali. HUYU MWANAMKE ANATATIZO GANI? NICHUKUE HATUA GANI?
Nawasilisha wana MMU wenzangu!

Huyo mwache tu, Ukishakomaa akili vya kutosha umrudie kama atakuwa hajachukuliwa na mtu mwingine..
 
Chakufanya ni wewe uanze kuwa mfano kwake, kwani hata mwalimu akitaka mwanafunzi aelewe vizuri ni lazima atoe mifano mingi ambayo itaweza kumfungua na kumpa mwelekeo mwanafunzi huyo.

Vivyo hivyo kwako, unatakiwa umpe mifano ya jinsi ya ku-care na kubembeleza ili aweze kutambua na kuelewa kwani binadamu tunatoka sehemu tofauti tofauti na tunatofautiana kwakweli.

Natumaini mkuu styl utakuwa mwalimu wake katika hili.
 
Basic foundation hii hapa
Maslow hierarchy of need
Je wakati mnaingia kwenye ndoa uliamkuta akiwa na hali gani? Je alikuwa na njaa na sasa ameshiba kwahyo anataka kuondoka? Labda kipindi kile alikupenda kwa kuwa aliaamini kwa kuwa na wewe atavaa,kunywa vizur na kusahau neno upendo ambao ndio kusudio lako kwake
 
mume wangu sauti yangu ndivyo ilivyo...
Najisikia vibaya kama unakwazika na hili, lakini nipe muda nitajifunza kuongea kwa sauti ya chini.

(tabia ya mtu haiwezi kubadilika kwa usiku mmoja, lakini pia.. kama umemuuzi ataongeaje kwa sauti ya chini jamani?.)
 
Unamuonea sana huyo unaemuita mkeo!

Kuna vitu fulani hivi unamfundisha ambavyo atakuwa anakufanyia kinafiki!

By the way, kwanini unataka uwe treated kama pharaoh?

Msiwafanye wanawake vyombo vya kujiburudishia bana!

Kuliwazana kunanyakati na muda wake, si kila ujapo tu hata umkute yuko na kazi ndani, basi aziache na kuanza kukushikshika na kukutekenya!

Ishini kwa amani ndani, ila si kwa masharti kama haya, huo ni unyanyasaji wa kijinsia!

Nahisi ndio maana umeoa mwanamke mwenye elimu ndooogo ili umpe misharti ya kishenzi kama hii! Pole
 
hapana, nadhani hili linawezekana,hakuna binadamu asiyebadilika especially for love,for love one can do anything as long ahakikishe mwenzi wake anafurahi.

kaka yangu,hata mimi nipo kwenye ndoa kama wewe, naomba nijibu haya maswali.
je mkeo anapata muda wa socialization na watu wengine au anakaa tu nyumbani doing nothing?
je unapata muda wa kumtoa outing mkeo maana kukaa mahali pamoja tu napo panafanya akili yake inachoka na anakua stressed
na je mkeo hawezi kufanya shughuli yoyote tofauti na kuwa mama wa nyumbani tu? hii kidogo itampa exposure na ubongo wake utapata vitu vipya na hata kubadilika kwake itakua ni rahisi
 
Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya kistaarabu, kwa kuwa yeye ni mama wa nyumbani-nikitoka kazini awe ananiriwaza na kunipa pole na kazi! ikiwezekana hapa kunibembeleza kutokana na uchovu wa kutafuta pesa kwa ajili yake na familia yangu. Chakushangaza Hafanyi hivyo, jamani mimi sihitaji aingie gharama yeyote kwa ajili yangu nikunifanyia hayo tu? Kuhusu kumuheshim ninamuheshim sana sana na analijua hilo-ninamuita majina yote mazuri, ninambembeleza sana sana huku nikimueleza jinsi dunia ilivyo; lakini wapi! akijaribu kunifanyia hivyo basi ni week moja tu then anarudi vile vile alivyokuwa awali. HUYU MWANAMKE ANATATIZO GANI? NICHUKUE HATUA GANI?
Nawasilisha wana MMU wenzangu!
pole sana.
hivi mkeo ana elimu kiasi gani? nikishajua hapo ndiyo nitakushauri,
unajua kuna tofauti kati ya mke wa std 7, form4, form6 na chuo...hawa wote wanatofautiana hata nikiongea nao utajua tu. so mimi nadhani shida ipo hapo,
na kama siyo hapo just love her na wala usimkumbushe hata kidogo, lakini wewe pia mfanyie mazuri siyo kupretend no. just suprise,
mpige busu mara 24 kwa siku halafu uone itakuwaje.
msikilize kwa makini kila anapoongea, unajua kuna wanaume wenzangu huwa hawasikilizi kabisa mwanamke,
saa zingine mwanamke anataka tu kushare feelings zake na wewe na wala siyo umtatulie.
mheshimu mkeo, inamaana ukimheshimu hutamwabuse hata siku moja mbele za watu, wala kumsema mbele za watu, wala kumsimulia mabaya ya watu, ..........labda nikushauri tafuta kitabu cha nancy(mzungu) kimeandikwa Effective Marriage from it yo life wont remain the same
 
pole sana kaka angu, iv hizo weekness akati wa uchumba wenu zilikuwepo au?
Huwa wanaficha makucha hao wakati wa uchumba. Lkn ndo hivyo tena mtu yeyote unayeza kumbadili ni ww tu. I mean kama huyo mwanamke hawezi kubadilika yeye mwenyewe kwa hiari yake basi hakuna anayeweza kumbadili. Nakuhurumia ndugu maana hayo yalinanikuta kwa mke wangu. Tumeachana baada ya kuona na kuptia njia zote pamoja na ushauri wa watu tofauti ili angalau abadilike ikashindikana. Fanya hv mvumilie tu kwani huo ni mzigo wako japo kwenye mapenzi hakuna kitu kinaitwa kuvumiliana bali kuumizana bila sababu za msingi.

Mimi napita tu maana mm mwenyewe mgeni.
 
hivi kazi za nyumbani hua
mnaona rahisi sana,lazima kuna jinsi nyingine
anafanya ya kukuonyesha upendo si
lazima afanye hivyo utakavyo wewe!!
 
mama wa nyumbani, aamke asubuhi asafishe nyumba, afue, aandae chai, akatafute mboga sokoni, apike chakula cha mchana, aoshe vyombo, apike chakula cha usiku (hapo tunaasume hana watoto)......................... bado ukirudi dume zima unataka kubembelezwa sijui kuliwazwa. hebu msichoshe wake zenu huko. wewe ofisini una kazi ya kubofya bofya computer tu. angalia hapo nani kachoka? wanaume wote wenye wake mama wa nyumbani mkirudi nyie ndio muwaliwaze wake zenu. kazi za nyumbani zinachoshaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!

Ww ni mwanamke au mwanaumme samahani lkn.
Mm wenyewe mgeni!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi kazi za nyumbani hua
mnaona rahisi sana,lazima kuna jinsi nyingine
anafanya ya kukuonyesha upendo si
lazima afanye hivyo utakavyo wewe!!
Kwa uzoefu wangu wa mapenzi wanawake wa sura yako hawajui kubembeleza kabisa. Mm binafsi sipendi kubembelezwa kwenye mapenzi maana naona kama naibiwa vile! Malezi ni kitu kibaya sn. Usitegemee kubembelezwa na mwanamke ambaye hakuona mama yake akimbeleza baba yake wakati akiwa mdogo never ever!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa hiyo wana jamii tujifunze basi japo kwa shida kuwambia wapendwa wetu kuwa tunawapenda japo moyoni inaweza kuwa kinyume. Vile vile nawashauri dada zetu kuwa unamwona wa nn ukiwa naye lkn akiondoka ndo utajua umuhimu wake.
Napita tu mm mwenyewe mgeni!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unamuonea sana huyo unaemuita mkeo!

Kuna vitu fulani hivi unamfundisha ambavyo atakuwa anakufanyia kinafiki!

By the way, kwanini unataka uwe treated kama pharaoh?

Msiwafanye wanawake vyombo vya kujiburudishia bana!

Kuliwazana kunanyakati na muda wake, si kila ujapo tu hata umkute yuko na kazi ndani, basi aziache na kuanza kukushikshika na kukutekenya!

Ishini kwa amani ndani, ila si kwa masharti kama haya, huo ni unyanyasaji wa kijinsia!

Nahisi ndio maana umeoa mwanamke mwenye elimu ndooogo ili umpe misharti ya kishenzi kama hii! Pole

yn point yako imenigusa,for sure mwanaume naye mpenda namheshimu automatically but asipende kufanywa kama mfalme eboo....yn hapo mwnyw mtu unakuta una stress zako umejituliza tu unajitaftia solution jingine lnataka ulipunguzie strec zake et kisa mke wake,jmn khah,sipendi kweli,kila mtu shld handle mambo yake jmn smtym
 
Tafuta mwana psychology au washauri wa mambo ya ndoa,apa kila mtu atakushauri lake
 
Nadhani mkiwa wachumba ulimchunguza tabia zake na ukajiridhisha kuwa utaweza kuvumilia mpaka mwisho wa maisha yenu,mkiwa kwenye uchumba alikuwa anakusikiliza,kukubembeleza na kukufariji pale ulipohitaji faraja? kama alikuwa anafanya haoy unayolalamika kuwa hafanyi jaribu kutafuta sababu ya kuacha kufanya hayo,na kama alikuwa hafanyi huna haja ya kulalamika kwani ulijua hayo mapema ndo alivyo na la muhimu ni kumchukulia jinsi alivyo.
Mtamhukumu bure tu mtoa maada lakini nakiambia ukweli kuna wasichana hata na wavulana wanaweza wakaficha makucha kwa kipindi chote cha uchumba then ukishamuweka ndani ndiyo utamjua na kumtambua vizuri tena hasa kwa sisi wenye ndoa za kilokole ambapo mwanamke hutakiwa hata kukutana nae mpaka siku ya honeymoon inatakiwa tuwe waombaji wa Mungu na tumjue Mungu kweli kweli la sivo nakuambia ni hatari sana kwenye ndoa nyingi za kikristo sema watu wanakufa na tai zao shingoni
 
pole sana.
hivi mkeo ana elimu kiasi gani? nikishajua hapo ndiyo nitakushauri,
unajua kuna tofauti kati ya mke wa std 7, form4, form6 na chuo...hawa wote wanatofautiana hata nikiongea nao utajua tu. so mimi nadhani shida ipo hapo,
na kama siyo hapo just love her na wala usimkumbushe hata kidogo, lakini wewe pia mfanyie mazuri siyo kupretend no. just suprise,
mpige busu mara 24 kwa siku halafu uone itakuwaje.
msikilize kwa makini kila anapoongea, unajua kuna wanaume wenzangu huwa hawasikilizi kabisa mwanamke,
saa zingine mwanamke anataka tu kushare feelings zake na wewe na wala siyo umtatulie.
mheshimu mkeo, inamaana ukimheshimu hutamwabuse hata siku moja mbele za watu, wala kumsema mbele za watu, wala kumsimulia mabaya ya watu, ..........labda nikushauri tafuta kitabu cha nancy(mzungu) kimeandikwa Effective Marriage from it yo life wont remain the same

i wish if you were mine...
 
Back
Top Bottom