Surveyor_1
Member
- Jan 2, 2022
- 58
- 52
Shukran sana mkuuComputer science
Geoinformatics
Geomatics
Accounting
🙏 KiongoziKasome Health statistics
Shukran sana
Computer science
Geoinformatics
Geomatics
Accou
Chuo gani ndio kipo vizuri zaidi kwenye hizi kozi kwa dar es salaam,na pia kina hakimbani sana mwanafunziComputer science
Geoinformatics
Geomatics
Accounting
Shukran sana kiongoziAiseeee nakushauri kapige kozi za afya..
1.radiology,ipo bugando ukitusua vizur diploma unga muhas ukapige degree..
2.optometry,ipo pale kcmc ukitusua vizuri piga na degree yake hapo hapo
3.dental ipo bombo tanga,rufaa mbeya ukitusua vizuri unga na degree yake..
Aiseeee nakushauri kapige kozi za afya..
1.radiology,ipo bugando ukitusua vizur diploma unga muhas ukapige degree..
2.optometry,ipo pale kcmc ukitusua vizuri piga na degree yake hapo hapo
3.dental ipo bombo tanga,rufaa mbeya ukitusua vizuri unga na degree yake..
Kasome Health statistics
Soma course za afya bigHabari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara.
Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka niendelee na masomo na nafikiria kusoma diploma ya computer science, japokuwa napata mawazo mara mbili mbili juu ya course sahiho ya kusoma inayoendana na wakati na mazingira ya nchi yetu,pia vilevile ni chuo gani bora cha kusoma.
Naombeni muongozo wakuu.
Dental bonge la course, akikosa kijiwe anitafute
Yaan ninachomaanisha,dental hawez kosa kijiwe mjiniIkatokea umekufa what next?
Nenda afya, au radiologyHabari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara.
Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka niendelee na masomo na nafikiria kusoma diploma ya computer science, japokuwa napata mawazo mara mbili mbili juu ya course sahiho ya kusoma inayoendana na wakati na mazingira ya nchi yetu,pia vilevile ni chuo gani bora cha kusoma.
Naombeni muongozo wakuu.
Ndio nimekuelewa ukasema akikosa akutafuteYaan ninachomaanisha,dental hawez kosa kijiwe mjini
Asante sana mkuuSoma unachopenda; hicho unachokiwaza achana na ushauri.