Fanya unachoona ni sahihi ubaki au uendelee kuachambo yake sipo tayri kuwa nay tena japo bado moyo wangu unamfikria sana tu.Sasa wana JF nifanyeje ili kuepukana nay na nisimfikilie
japo bado moyo wangu unamfikria sana tu.Sasa wana JF nifanyeje ili kuepukana nay na nisimfikilie kabisa?
Hahaha dah nimecheka Sana mkuuNakodisha mioyo migumu 'isiyofikilia' mapenzi...kwa siku jero tu!