naombeni ushauri juu ya hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni ushauri juu ya hili

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by neema pita, Jun 12, 2012.

 1. n

  neema pita Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni na majukum wana JF wenzangu mimi nimemaliza kidato cha nne nikapata division four ya 30 nimekaa nyumbani mpaka nimechoka maisha magum imebidi nitafute chuo nisome chuo cha nurse biology nimepata f, kunamtu akanishauri ni gush chet kutoka wizarani kunamtu anaweza kufanya kaz hiyo nakunipatia cheti chenye maksi nzuri. naombeni ushauri kuna uwezekano wa kutengenezewa kutoka wizarani na kisijulikane? naombeni ushauri nimeshindwa nifanyeje
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Eti unasemaje?
   
 3. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  uwiii.! Angalia usije ukaingizwa mjini..!!
   
 4. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Nakushauri usigushi cheti, siku hizi ukigushi ni rahisi kugundulika tofauti na miaka ya nyuma. jaribu kuapply vyuo vinavyotoa kozi za nursing unaweza kuchukuliwa hata kama hukufaulu biology.
   
Loading...