Naombeni ushauri, huyu shemeji ananikwaza

Naombeni ushauri, huyu shemeji ananikwaza

Huyu jamaa wachache ndo tumemuelewa, anyway you made me laugh out loud [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa wachache ndo tumemuelewa, anyway you made me laugh out loud [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo vijana hawapendi kutumia fasihi wakidhani kwamba kunguru ananenepa kwa kula jalala moja...😂😂
 
Hatari sanaaa!! Unaishi kwa dada halafu hutaki shemeji na dada wajifungie chumbani😃😃

Wewe ni nani😂😂
 
Hatari sanaaa!! Unaishi kwa dada halafu hutaki shemeji na dada wajifungie chumbani😃😃

Wewe ni nani😂😂
Mkuu, wanatakiwa wapunguze muda wa kujifungia na hata kuoga bafu moja kwa wakati mmoja misipendi...☹️
 
Mkuu, wanatakiwa wapunguze muda wa kujifungia na hata kuoga bafu moja kwa wakati mmoja misipendi...☹️

Kwa ubishi huu inabidi tuu dada afanye mpango tuu upate wa kufanana nae... Kama huyo wa nyuma

Screenshot_20210728-191742.jpg
 
Mkuu, kwani kuna ubayagani mimi nikiishi kwa shemeji..??
Na kama ni kazi, kwani mimi ni mfanyakazi wao..??
Ubaya haipo ila shemeji anaona unamuharibia raha zake kwa dada!ndo maana haishi vituko ili utimke!
 
Back
Top Bottom