Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

Kama title inavyoeleza, Mimi ni kijana umri (27)Kuna bint (23) nilianzisha nae mahusiano nikiwa na malengo na matarajio makubwa na yeye na tulipendana.

Japo kipato changu ni cha kawaida sana nilijitahidi kumthamini na kumhudumia chochote kitu nilipopata

Cha ajabu na tamaa alizokuwa nazo akaniacha akaenda kwa mfanyabishara na kuzaa nae mtoto
Baada miaka Gafla amenitafuta na kuombaa msamaha anadai yeye huyo jamaa wameshindwana sababu ya kipigo na hamtunzi mtoto wao.

Ananisihi bado ananipenda anaomba turudiane,

Wakuu nifanye nini maana naona amekuwa king'ang'anizi kunitafuta kuomba hela na kulazimisha mahusiano yarudi kama zamani.

Na mimi sina hisia naye tena.
Tea is for breakfast, ungesubiri kidogo pakuche mkuu.
 
Utto wamekwisha; bora wasipeleke rimu kab8sa.
 
Hii ni chai kabisa...
Sawa...msamehe tu...then funga naye ndoa kabisa.
 
Hakikisha na wewe unamtia mimba na azae.

Halafu piga chini ili matokeo yawe Moja Moja yaani both timu to score
 
Sasa jiroge ujidai wewe ndyo Baba Huruma umrejeshe kwenye maisha Yako huyo singo mama.Nafikiri umeona nyuzi za singo Maza wengi.

Jithamini pia ndugu yangu unanuaje gari lilitumika wakati mapya 0 km yapo.
 
Kama title inavyoeleza, Mimi ni kijana umri (27)Kuna bint (23) nilianzisha nae mahusiano nikiwa na malengo na matarajio makubwa na yeye na tulipendana.

Japo kipato changu ni cha kawaida sana nilijitahidi kumthamini na kumhudumia chochote kitu nilipopata

Cha ajabu na tamaa alizokuwa nazo akaniacha akaenda kwa mfanyabishara na kuzaa nae mtoto
Baada miaka Gafla amenitafuta na kuombaa msamaha anadai yeye huyo jamaa wameshindwana sababu ya kipigo na hamtunzi mtoto wao.

Ananisihi bado ananipenda anaomba turudiane,

Wakuu nifanye nini maana naona amekuwa king'ang'anizi kunitafuta kuomba hela na kulazimisha mahusiano yarudi kama zamani.

Na mimi sina hisia naye tena.
Huyo hafai hata kuwa mchepuko ,mambo yake muachie mwenyewe,achana naye

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta mwanamke mwingine alafu usimpe kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom