Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

Kama title inavyoeleza, Mimi ni kijana umri (27)Kuna bint (23) nilianzisha nae mahusiano nikiwa na malengo na matarajio makubwa na yeye na tulipendana.

Japo kipato changu ni cha kawaida sana nilijitahidi kumthamini na kumhudumia chochote kitu nilipopata

Cha ajabu na tamaa alizokuwa nazo akaniacha akaenda kwa mfanyabishara na kuzaa nae mtoto
Baada miaka Gafla amenitafuta na kuombaa msamaha anadai yeye huyo jamaa wameshindwana sababu ya kipigo na hamtunzi mtoto wao.

Ananisihi bado ananipenda anaomba turudiane,

Wakuu nifanye nini maana naona amekuwa king'ang'anizi kunitafuta kuomba hela na kulazimisha mahusiano yarudi kama zamani.

Na mimi sina hisia naye tena.
Unataka upewe ushauri wa aina gani? Miaka 27 inakutosha kabisa kujiamulia hatma ya maisha yako ya sasa, na pia ya baadaye.
 
Kama title inavyoeleza, Mimi ni kijana umri (27)Kuna bint (23) nilianzisha nae mahusiano nikiwa na malengo na matarajio makubwa na yeye na tulipendana.

Japo kipato changu ni cha kawaida sana nilijitahidi kumthamini na kumhudumia chochote kitu nilipopata

Cha ajabu na tamaa alizokuwa nazo akaniacha akaenda kwa mfanyabishara na kuzaa nae mtoto
Baada miaka Gafla amenitafuta na kuombaa msamaha anadai yeye huyo jamaa wameshindwana sababu ya kipigo na hamtunzi mtoto wao.

Ananisihi bado ananipenda anaomba turudiane,

Wakuu nifanye nini maana naona amekuwa king'ang'anizi kunitafuta kuomba hela na kulazimisha mahusiano yarudi kama zamani.

Na mimi sina hisia naye tena.
Sasa hapo unataka tukushauri nini?
 
umekuja kujisifia kwamb wew n handsome na unang'ang'aniwa na manzi sidhan kam una lingine,huna hisia nae,,jibu tosha.
 
Wameshindwana SABABU YA KIPIGO NA HAMTUNZI MTOTO WAO
inamaana kam kusingekuwa na KIPIGO na ANGEKUWA ANAMTUNZA MTOTO usingetafutwa

Amekutafuta 7bu anajua wewe BWEGE lake hupindui kwakwe
ina maana Siku huyo MFANYABIASHARA akimlililia kwa kuombamsamaha kuwa amejirekebisha basi atakuacha then atarudi kwa BABA watoto wake

Mwanamke habebi MIMBA kama hajaitaka MIMBA mwanamke hawezi kukuzaria kama hajakupenda

Hata MALAYA ukinunua kama mtaenda kulala USIKU Kucha akiuelewa tu atakupa SHOWSHOW fully udambwiudambwi kama mmejuana miaka 5 nyuma yaana love story romance nk nk
Ila kama ajakuelewa atakuchukukia kama mteja KOJOA mpe chakee mlalee

Wewe hakuwahi kukupenda ila ulikuwa unamsadia sana SHIDA zake kwa halaka zaidi
Now hana shida amerudi tena kwako umsaidie yeye na mtoto wake

Screenshot_20240323-150020_1.jpg
 
Kama title inavyoeleza, Mimi ni kijana umri (27)Kuna bint (23) nilianzisha nae mahusiano nikiwa na malengo na matarajio makubwa na yeye na tulipendana.

Japo kipato changu ni cha kawaida sana nilijitahidi kumthamini na kumhudumia chochote kitu nilipopata

Cha ajabu na tamaa alizokuwa nazo akaniacha akaenda kwa mfanyabishara na kuzaa nae mtoto
Baada miaka Gafla amenitafuta na kuombaa msamaha anadai yeye huyo jamaa wameshindwana sababu ya kipigo na hamtunzi mtoto wao.

Ananisihi bado ananipenda anaomba turudiane,

Wakuu nifanye nini maana naona amekuwa king'ang'anizi kunitafuta kuomba hela na kulazimisha mahusiano yarudi kama zamani.

Na mimi sina hisia naye tena.
Miaka 27 unashindwa kufanya maamuzi?
 
milembe.
 
pole sana mkuu ila unazidiwa akili na binti wa 23 aisee jipange sana....
 
Kama title inavyoeleza, Mimi ni kijana umri (27)Kuna bint (23) nilianzisha nae mahusiano nikiwa na malengo na matarajio makubwa na yeye na tulipendana.

Japo kipato changu ni cha kawaida sana nilijitahidi kumthamini na kumhudumia chochote kitu nilipopata

Cha ajabu na tamaa alizokuwa nazo akaniacha akaenda kwa mfanyabishara na kuzaa nae mtoto
Baada miaka Gafla amenitafuta na kuombaa msamaha anadai yeye huyo jamaa wameshindwana sababu ya kipigo na hamtunzi mtoto wao.

Ananisihi bado ananipenda anaomba turudiane,

Wakuu nifanye nini maana naona amekuwa king'ang'anizi kunitafuta kuomba hela na kulazimisha mahusiano yarudi kama zamani.

Na mimi sina hisia naye tena.
Acha upumbavu wewe!!

Unataka tukushauri Nini sasa!!?

Ungekua karibu ningekupiga kibao aiseh Hadi ungeshangaa!!

Huyo ungempiga teke kabisa kabla hata hajaongea chochote!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom