naombeni umbea!!!!

Carla

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
398
331
anaejua lini itatokea neema kwa wale waliofanya usaili tar1hadi5 maana watu tunakua na pressure mbili mbili mara ya kupanda mara ya kushuka,kwa anaejua tafadhari!
 
Unge peleka jukwaa la kazi unge pata msaada zaidi.

Alaf try to come down
 
Hivi Afisa Mtendaji huwa pia kuna interview I thought vile vyeo ni vya makada wa CCM...
 
Back
Top Bottom