Ubaya wa nini tena kijana, na sisi tunapenda hayo ili tuwape darsa.
Hivi hujaielewa R ya pili ya mama Samia> "resiliency", ukiielewa utatuelewa.
Kama ulikuwa huelewi R zile 4 za mama Samia, zote ni mafundisho ya kina ya Kiislam.
Zile R 4 ndizo kati ya sifa kuu za Bwana Mtume Muhammada salla Allahu Alayhi Wasalaam.
Nimeanza kutowa darsa lake huku, kajisomee:
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla. R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...
www.jamiiforums.com