Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

Wakuu Walioachwa mkeka wa mama Wa Ma DC

1. Richard Kasesela - Iringa
2. Lengai Sabaya - Hai
3. Lydia Bupilipili - Bunda
4. Ruth Blasio Msafiri - Njombe
5. Deogratius Kinawilo - Bukoba
6. Dr. Philis Nyimbi - Nyamagana
7. Dr. Severine Lalika-Ilemela
8. Dr. Kipole -Sengerema
9. Cornel Magembe - Ukerewe
10. Simon Odunga - Rorya
11. Eng. Mtemi Msafiri - Tarime
12. Nyamaganga Talaba - Kishapu
13. Anna Nyamubi - Butiama
14. Salehe Mhando - Tanganyika
15. Paul Ntinika - Mbeya
16. Asia Abdalah - Kilolo
 
Siriel Mchembe wa Gairo naye si ametemwa?
 
waliofukuzwa kazi jumamosi usiku leo waende misa ya jioni kutoa sadaka ya shukrani.
Wajiandae sasa wakaombe kazi utumishi, nafikiri zile kazi za BOT deadline bado.
 
Mimi Kasesera ndiye nimemuonea huruma siyo kwa juhudi zile hadi zile na maigizo
 
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu

Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..

Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..

Mwenye nayo please naomba iweke hapa
Dr. Fils Nyimbi wa Nyamagana simuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…