Naombeni nauli nikapige Kura, mi Mwanachuo.

Ikimbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
301
Reaction score
32
Habari wanajamvi zikiwa zimebaki siku mbili naomba mwenye kunisaidia nikapige kura ili kutimiza haki yangu Kikatiba ya kumchagua kiongozi ninaemtaka. Nauli ni sh 15,000/= tu chuo kipo Morogoro nitashukuru sana kwa msaada naamini kura yangu niyathaman sana. Mwenye kutaka kunisaidia nimPM nimpe namba ya simu.
 
Hata mimi ni mwanafunzi wa chuo cha UDOM sina nauli nipo Kilwa 100,000 tu naenda na kurudi na nipo timu mabadiliko. Tusuppotiane tumvushe babu mamvi. Namba yangu 0713373875
 
Nec ilisema wanafunzi wa vyuo vikuu watakwenda na vitambulisho vya vyuo vyao wataruhusiwa piga kura Popote!!!
 
Hata mimi ni mwanafunzi wa chuo cha UDOM sina nauli nipo Kilwa 100,000 tu naenda na kurudi na nipo timu mabadiliko. Tusuppotiane tumvushe babu mamvi. Namba yangu 0713373875
Ujinga wako uwe unawaandikia wajinga wenzio wa CCM, ukikuta tunajadili mambo serious unakaa kimya!
 
Habari wanajamvi zikiwa zimebaki siku mbili naomba mwenye kunisaidia nikapige kura ili kutimiza haki yangu Kikatiba ya kumchagua kiongozi ninaemtaka. Nauli ni sh 15,000/= tu chuo kipo Morogoro nitashukuru sana kwa msaada naamini kura yangu niyathaman sana. Mwenye kutaka kunisaidia nimPM nimpe namba ya simu.

Kaombe kwa jilani yako atakusaidia,
 
Back
Top Bottom