Ushauri unahitajika

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Nimetoka na mke wa mtu,..binafsi nimejutia Sana hichi kitendo na nimemuomba mungu anisamehe kwa hii dhambi,.
Lakini toba ya kweli ni kumuomba ambae nimemkosea hapa duniani bhasi yeye akikubali na mungu anakubali,...

Inamaana toka nimetoka kufanya kitendo na huyu mke wa mtu nikimuona mme wake roho inadunda Sana na najiona mwenye hatia,,kuhusu huyu mke wa mtu naona anavidalili vya kutoka nirudie kosa na Mimi nafikiria kuhama kabisa hii nyumba tuliopanga wote sisi ni wapangaji...

Je ?nikimuomba msamaha jamaa si ataniuliza namuomba msamaha wa Nini au tu nimwambie anisamehe Sana Kuna kitu niliwahi kumkosea...naombeni hekima zenu wakuu Ila sito rudia tena.
 
Pole sana. Dhambi ni mbaya sana. Imeandikwa katika kitabu kitakatifu Cha Biblia kuwa afanyae mapenzi na mke wa mtu adhabu yake ni sawa na kufungwa jiwe shingoni akatupwa bahari. Nikirudi kwenye suala lako kwanza usimwambie mume wake, pili hama huo mtaa na usije kurudia kosa la namna hiyo ni vibaya Sana tena sana. Tatu kama ni mkristo nenda Kwa padre katubu na hapo Amani itarudi na utakuwa huru. Mwisho ukiona umetenda dhambi Fulani alafu ROHO ikawa inakuuma sana ujue kwa kujutia kabisa kama hili, ujue nguvu ya Mungu ipo ndani yako, YESU KRISTO yupo ndani yako na ROHO MTAKATIFU yupo ndani yako hivyo nafsi inajisikia bibaya Kwa wewe kutenda dhambi ikiwa ni mtu mwema hivyo MUNGU hataki upotee. BARAKA ZAKE MUNGU MWENYEZI ZA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU ZIKUSHUKIE NA KUKAA NAWE DAIMA. AMINA
 
Ushauri mzuri sana huu
 
Nimetoka na mke wa mtu,..binafsi nimejutia Sana hichi kitendo na nimemuomba mungu anisamehe kwa hii dhambi,.
Lakini toba ya kweli ni kumuomba ambae nimemkosea hapa duniani bhasi yeye akikubali na mungu anakubali,...inamaana toka nimetoka kufanya kitendo na huyu mke wa mtu nikimuona mme wake roho inadunda Sana na najiona mwenye hatia,,kuhusu huyu mke wa mtu naona anavidalili vya kutoka nirudie kosa na Mimi nafikiria kuhama kabisa hii nyumba tuliopanga wote sisi ni wapangaji...
Je ?nikimuomba msamaha jamaa si ataniuliza namuomba msamaha wa Nini au tu nimwambie anisamehe Sana Kuna kitu niliwahi kumkosea...naombeni hekima zenu wakuu Ila sito rudia tena.
Uzi 1# imejibu swali lako.

Usijaribu kumuambia mwanaume kuwa ulimla mkewe ila unaweza mtonya kuwa awe makini na mke wake na aanze kumchunguza, mwambie hivyo atajiongeza. Msaidie mume wake yeye mwenyewe afanye uchunguzi, whatever the outcomes, hata kama ndoa itavunjika, sawq tu hata Yesu mwenyewe alimkubali ndoa kuvunjika kama mwanamke ni mzinzi.

Futa namba zake, futa kila kitu chake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom