japheth tz
Member
- Jan 31, 2017
- 6
- 1
Mwenye ujuzi anisahidie jinsi ya kupata Duccument za kwenye hiyo link jamani mana kila nikijaribu ku copy na shindwa..>>>Kanuni za ufugaji bora wa kuku
Asanteee sana Mkuu kwa Msahada wako
pw mkuu nimekupataMsahada= msaada.
Kabla ya ku-post hii thread ulitakiwa um-block kwanza FaizaFoxy maana akisoma atakosoa spelling.Mwenye ujuzi anisahidie jinsi ya kupata Duccument za kwenye hiyo link jamani mana kila nikijaribu ku copy na shindwa..>>>Kanuni za ufugaji bora wa kuku