naombeni msaada..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni msaada.....

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Crucifix, Jul 31, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wapendwa nataka kuanzisha website kwa ajili ya vijana wadogo, kuwapa maelekezo ya malezi mema na shuhuda za watu waliofanikiwa kwa kuchunga tabia zao. Sasa nahitaji kupata jina nitakalotumia kama anuani ya site hiyo.

  Pia kama kuna web designer (sio very expensive lakini) tuwasiliane ili anisaidie kutengeneza kwa maana mimi naweka materials tu, sijui kudesign web na bado sijapata host.

  Nitashukuru kwa mawazo mazuri ya jina, na nitatoa bakhshish kidogo kwa jina nitakalochagua.

  Shukria...............
   
 2. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mkuu hapo sijaelewa ... Vjana utakua unalenga teenagers au vjana wote
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,799
  Likes Received: 7,124
  Trophy Points: 280
  bongo nako pia kuna premium domain jaman kama una million 30 na upo serious nunua hii premium domain
  JIFUNZE.COM haina mtu

  Kama ni mwenzangu na mimi hizi suggestion zangu (zote zenye .com unaweza zipata kwa .net na .org)

  -Elimikatz.com
  -vijanawetu.com
  -pambanua.com
  -Maishatz.com
  -kimbiliolangu.com
  -nimeokoka.com
  -kijanawaleo.com

  Zote zipo available zicheki.

  -unataka na website ya aina gani? Kuna jamaa anaitwa kilongwe humu anatoa tutorial nzuri tu za joomla kwa beginer jifunze sio ngumu sana hosting hawana shida click hapa AfroIT - Elimu na mafunzo kwa njia ya mtandao
   
 4. s

  selham Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 25
 5. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  kijanawaleo.com ni the best nitafute kwa ushauri wa jina bora, nembo na website design. 0767102102, email: cerengeti@gmail.com
   
 6. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  kijanawaleo.com ni the best nitafute kwa ushauri wa jina bora, nembo na website design. 0767102102, email: cerengeti@gmail.com
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,799
  Likes Received: 7,124
  Trophy Points: 280
  Sasa kwan nimekwambia mi nataka? Jamaa kaomba ushauri nimempa, au unaitaka hio domain
   
 8. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nashukuru kwa wote mlionipa maoni na ushauri. Nashukuru pia JF kwani nimempata webdesigner tayari
   
Loading...