Dia kila mwanaume ana vionjo vyake,ila kuna vitu general ambavyo asilimia kubwa ya wanaume wanapenda na kuvutiwa navo,kwanza heshima,kujiamin as a woman,mwelewa,mkweli,wivu wa kiac,mapnz ya dhati,kujituma na ubunifu kitandan bila kusahau usafi wako binafsi na ndan ya nyumba/rum,hawapendi mdomo,omba msamaha ukoseapo,jua kuhandle tempa zako,ucwe mbishi,kuwa na mashost wacoeleweka,ujue maisha nini na co kupenda starehe wakati wote,na kubwa zaidi kutulia kwenye mahusiano co kua na tamaa za kijinga.