Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
Habari zenu wakuu..
Kuna mdogo wangu kachaguliwa kozi inaitwa management in social development pale mwalimu nyerere memorial academy ana chukua degree katika hii kozi..
Sasa yupo hapa namwona haelew elew naombeni wajuzi ya hii kozi mnisaidie ufafanuzi yaan anaweza kuwa nani baadae..
Pia vipi kuhusu mazingira chuo..ni hayo tuu
Naombeni msaada wenu wakuu