mhmh kashalishwa limbwata huko huyo alikuwa tapeli wa mapenzi tu jisalimishe kanisani au msikitini kulingana na imani yako humu watu watapita kimya kimya kama hawakujui
Eeenheeeeee! we mama hebu simamia hii harambeee !!!
Wanawake Onesheni Umoja Wenu Mumsaidie Mwanamke Mwenzenu.Hizo Hizo Sh.2,000 Zenu Ndo Zitasaidia Kupata 50,000.Huyu Dada Ni Kweli Kabisa Anashida Na Anahitaji Msaada.
Mimi Niliongea Nae Jana Ili Kupata Uhakika.Kusema Kweli Anajieleza Vizuri Sana.Na Alichokiandika Ndo Kweli Anachokimaanisha.
Nawaombeni Wana JF Tujitahidi Kumsaidia Kwa Chochote Kidogo Tulichokua Nacho.Kutoa Ni Moyo Sio Utajiri Na Mungu Atakubariki Sana.
Mimi Mwenyewe Binafsi Niliahidi Kumsaidia Kwa Kiasi Chochote Kidogo Ntakachokua Nacho.Nawaombeni Wadau Wote Tujitahidi Kuguswa Katika Hili Swala La Huyu Dada.Wanaume Wenzangu Pia Tusibaki Nyuma Katika Hili.Siku Zote Mwanaume Ndio Kichwa.
Umoja Ni Nguvu Kwahiyo Naamini Kwa Pamoja Tunaweza!
ukipata nauli usigeuke nyuma wala usije mtafuta tena!huwezi jua Mungu kakuepushia nini.pia Mungu akikutenga na baadhi ya watu usiwakimbilie waache waende na zao.mchukue mtoto wako akikua utamwambia ukweli.ila kwa sasa rudi nyumbani kajipange.na kama alivyosema mdau nenda mahali pa ibada jieleze na pia omba tiketi utaeleweka zaidi
Hebu fanya hiv dada maana huko uliko ni mbal na kama nimekuxoma vizur umexema kwenu maixha ni magumu xana nixawa maixha ni magumu lakin nibora yakawa magumu wakat upo hom kuliko kua magumu wakat upo ugenini naomba nikuulize mpaka xxa umexhapata kiac gan cha naul ili nijue nakuongezea kiacgan maana najua haujaanzia hapa jf na kuhuxu xuala la mtaji labda 2elewane
Mm nakuxhaur urud kwanza hom hela ya mtaj wa biaxhara unayotaka kuifanya utaitafuta ukiwa hom kwenu kuliko kukaa huko ugenn na ictoxhe una mtoto mdogo atazid kutexeka naomba uniambie umepata kiac gan ili nijue nakuongezea kiac gan
mama JF ni kijiwe cha kuondolea stress humu watu sura zao hazionekani hivyo hawana soni kupata msaada humu itakuwa ngumu sana ,nenda serikali za mitaa au kanisani/msikitini .sikukatishi tamaa ila humu tunajuana kwa porojo tu bora hata ungekwenda ITV au kwa shigongo.humu wajuaji wengi sanaSijapata hata sh 100 na Mungu ni shahidi ila nimepigiwa sana simu tu.Nitashukuru kwa hata hiyo nauli ya kuondoka mbona kwa maana nyumbani ni nyumbani na pale nafahamika siwezi kufa njaa.
Mungu ni shahidi kwamba nimeanzia hapa jf kuomba msaada na sina hata pesa ya matumizi ya mtoto na mimi kwa hapa mjini.wewe nisaiaidie kwa kadri uwezavyo hata kama ni ticket tu pia nitashukuru.Siwezi kukuahidi kwamba naweza kuelewana na wewe ukanipa hiyo elfu 50 ya biashara ndogodongo kisha nikakurejeshea itakuwa nakudanganya ndugu kwa maana itachukua mda mpaka ifike laki kwa maana nitakula humohumo.Sijapata hata sh.mia ila simu nimepigiwa sana.
bac fanya ki2 ki1 naomba utafute kama elfu kumi ukipata niambie mm nitaku2mia elf 15 najua kama naul ni elfu 20 utakua na elf 5 hata ya kula njian kwakua upo na mtoto huwez ukaxafir kutoka dar mpaka huku xame na mtoto bila kula njian dada xo ungefanya hivyo ukipata niambie mm nimexhakuahid najua unaxhida kwel dada mm nipo wilaya ya mwanga co mbal xana na huko kwenu xame
Asante mpendwa.pole sana dada
nakushauri hata kama hujapata hiyo 10,000 wewe sema umeshapata tayari ili akutumie hiyo 15 naamini hiyo kumi itapatikana tu baadae,pole sana dadaAsante mpendwa.