Naombeni msaada wana jamvi

Naombeni msaada wana jamvi

J627204

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
268
Reaction score
99
Mimi natumia simu.ya Huawei Y300 inanisumbua kwamba naweza kuongea na mtu sekunde35 baada yahapo nakuwa sikilizani na mtu wa upande wa pili nimejaribu kuongea na huduma kwa mteja bila mafanikio ila nimegundua siyo mimi tupo wengi tunaotumia Huawei nimeuliza naambiwa kuna uwezekano wakuongeza softi weya mwenye ujizi naomba msaada natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom