J627204
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 268
- 99
Mimi natumia simu ya HUAWEI Y300 Ila imekuwa napata kero kwani nikiwa nampigia mtu ifikapo sekunde35 nakuwa si msikii ninayempigia nimeifanyia masta reseti bado inanisumbua pia kuna ndugu yangu nayy analala mika naombeni mwenye uelewa anisaidie kwani wengi walionunua wanalala mika natanguliza Asante