na hakika wanasheria wana mbinu za kumsaidia.
Kupata mali kama ndoa ilikuwa ya miaka 12..
sina uhakika kwa hiyo nauliza.
kwa Tanzania mwanamke anaweza kumpa mume talaka???
ntashukuru kupata jibu Kiranga.
thax dear,iyo board inaundwaje? tuanzie hapo...maana mume wake hamtaki ila ni mchaga anajikausha tu ili wasigawane mali wakati wamechuma wote kipindi wameoana hawakuwa hata na bodaboda
Kwanza naomba mod usitoe uzi huu hapa
kuna dada alikuwa ameolewa amekaa na mume wake 12 years ndoa ya kikristo
hawakuwa na mtoto
mwaka 2010 mwanaume alimshutumu wife kutokuwa mwaminifu akamfukuza bila hata nguo,na kagoma kumrudisha hadi leo
walikuwa na vitu vingi nyumba maduka magari
mwanaume hataki kutoa talaka maybe anaona watagawana vitu ilasijui
sasa huyu dada anaomba ushauri afanyeje apate haki yake? ,maana nanateseka
mwanaume akiulizwa vipi anadai hana shida na mkewe bado anampenda ila sio kweli,hawaongei wala hajawai kumpa hata mia toka iyo jan 2010. Na huyo mwanaume hajaoa tena
hata yeye hamtaki tena

Smile kisheria talaka haitolewi kwa kuomba tu "nipe talaka yangu" kama ilivyo kwa baadhi ya desturi. Inabidi huyo dada aanze divorce proceedings kwa kuchukua hatua za mwanzo kabisa za baraza la upatanishi wa ndoa (Marriage Conciliation Board). Huko mwanaume ataitwa na wanabaraza watawapatanisha, kwa vile mume anasema bado anampenda mkewe watatakiwa kurudiana. Wasiporudiana au kuelewana basi baraza litatoa certificate kwa mwanamke kuonesha kuwa wameshindwa kuwapatanisha ni hivyo aliyepeleka shauri anaweza kwenda mahakamani ku-file for divorce (kanisani utaratibu huu huwa ni mgumu). Pia mwanaume akikataa kwenda kwenye baraza kusikilizwa baraza litatoa hati ya kushindwa kupatanisha kwa mlalamikiwa kutohudhuria vikao vya baraza.
Akipata hiyo hati ataenda mahakamani na kufungua shauri la kudai talaka. Katika maombi yake ya talaka atadai mgawanyo wa mali walizochuma na mumewe katika kipindi cha ndoa yao.
Hebu learned brother Rutashobolwa kuja huku msaidie Smile mawazo ya kisheria.
Duh! Wamekaa kama mme na mke katika kipindi cha muongo mmoja na miaka miwili! Na hawajabahatika kupata mtoto! Na ukizingatia ni ndoa ya Kikrsto! Na katika maneno ya mwisho kabisa mbele ya kadamnasi yote ya kanisa waliambia hivi Ndoa iliyofungwa na MUNGU mwanadamu asitenganishe! ama kweli hapa sasa ni wale magwigi wa sheria ndiyo tunawahitaji hapa tumnusuru huyu rafiki yake Ndugu yetu Smile;
Copy;
PakaJimmy;
Mr Rocky;
Rutashubanyuma;
Mtumishi Wetu;
Dark City
Hawa member tajwa wanaweza wakampatia mwanga Ndg yetu Smile;
thax dear,iyo board inaundwaje? tuanzie hapo...maana mume wake hamtaki ila ni mchaga anajikausha tu ili wasigawane mali wakati wamechuma wote kipindi wameoana hawakuwa hata na bodaboda
Na akisema atumie njia ya kanisani itakuwa ngumu kupata talaka!
Wachungaji huwa hawkubali kuvunja ndoa kabisa.
Bora aende kwenye baraza la usuluhishi lakini nikiangalia hapa hii ndoa haiwezi kuvunjwa maana inaonekana hakuna sababu mathubuti na huyu mwanaume atakomaa ana mpenda na watazungushwa sana.
Nilidhani tunaenda fishing?