Naombeni msaada wa pdf file joining instruction ya kisarawe ii sec school

Tzhacker 000

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
520
500
Naombeni msaada wa Pdf file JOINING INSTRUCTION Ya KISARAWE II SEC SCHOOL kwa kidato cha tano 2021 iliyopo kwenye Form kule Tamisemi Pdf yao haijafungwa vizuri hivo haifunguki kila Program Ya PDF READER inatema na kudai Invalid format , mwenye kuwa na pdf ya Shule hio kwa kidato cha tano anisaidie kuna mtu namsaidia Kuipata.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom