Naombeni msaada.....wa kujua admission ya udom kwa watu walio omba kupitia mature age entry

Jaman mnawakatsha tamaa vijana walochaguliwa pale udom..ebu kuwen na huruma kdogo
 
lazima utakua unapga ngwini kaka, unalala unaota gpa, ha ha ha haaa! Mimi nafikiria kutengeneza software mpya, college naenda kuchukua theories tu na hawajawahi kunikamata jst passin mark it's done! Mangwini bhana!

Umekwisha ambiwa inorder 2discover something there must be an invisible force play part in ur mind sasa wewe ukishindwa kupata gpa kubwa kwa kufikiri kwa kina na kuelewa ulichofundishwa ndani ya semister utaweza kugundua hiyo software..maplan ni kupiga gpa ili kile nilichogundua kiweze kukubalika na kusaidia taifa na dunia.thinkagain
 
Udom wanafata mtaala wa nchi gani? No field, wanawahi kufunga chuo, wanachelewa kufungua. Bodi wanapoteza pesa zao kuwathamini wanafunzi wa udom. Hakuna shule kichwani. Wanatamani kufungua chuo wakagome.

Hivi ww una nn na hiki chuo?? mbona unaongea upuuzi??
 

uongo mtupu! Acha unafiki.
 

Achani wivu wa kisenge!
 
Achani wivu wa kisenge!

Kaka em toa hoja achana na matusi maana unajidhalilisha na unatupa wasiwasi sisi magreat-thinkers wa hili jukwaa umefunguliwa account hii au umetumia akili yako kuifungua mwonyewe??? maana unanitia wasiwasi kama hata unauwezo wa kukalili password ulivyokuwa na akili fupi YANI MIMI NIWE NA WIVU NA UDOM???
 
Hawa machalii, ungepekua vyuo walivo soma na matokeo yao, ungewacheka na kuwadharau. Hata cjui wameingiaje umu, hawa wanastahili kupimwa IQ zao! sio timamu kabisa!

kaka kama wewe umepangwa udom kimpango wako na matokeo yako ndo yaliyokupeleka huko ila usianze kusema kuwa watu tunaigiza,kwa ufupi mwana chuo ambae haoni aibu kutaja chuo chake ni wa udsm,ardhi,mzumbe,muhas(muhimbili)na sua basi kwahiyo kila anaetoa comments hapa ni mmoja kati ya hivyo vyuo ila wewe udom stay out the line u don't deserve to be herd when comes to education issues....ndo maana hata kwenye makongamano.
 

endeleen kudharau wenzenu 2..nenda kaangalie matokeo ya admitted students at mzumbe,ardhi na sua kama hujakaa chini ulie,mbona udom kuna wenye ufaulu mzuri wako kule,acheni dharau za kitoto nyie vijana.
 
endeleen kudharau wenzenu 2..nenda kaangalie matokeo ya admitted students at mzumbe,ardhi na sua kama hujakaa chini ulie,mbona udom kuna wenye ufaulu mzuri wako kule,acheni dharau za kitoto nyie vijana.
Siyo dharau ila ukweli unajitenga wenyewe. Tunao wanafunzi waliomaliza UDOM huku mitaani ni vichekesho yaani unashindwa kujua kama hata alisoma form six achilia mbali hiyo miaka mitatu. Mi nadhani penye ukweli tusema na hata kama si wote inabidi hili liangaliwe!! Eti hata research wanakosa masupervisor wanajisimamia wenyewe du!!kama ni ya ukweli basi yalekebishwe.
 
hi wadau naomba msaada wa kujua lini udom watatoa majina ya watu walio omba kupitia mature age entry.........mpaka leo hakuna tangazo lolote khs admission ya mature....wakati chuo kinafunguliwa soon tu hapa.
Mkuu vp umeshapata jibu?.Au kuna mtu yeyote amepata admission kupitia Mature age au Equivalent hapo UDOM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…