Naombeni msaada.....wa kujua admission ya udom kwa watu walio omba kupitia mature age entry

dizzle1

Member
Jan 16, 2011
85
9
hi wadau naomba msaada wa kujua lini udom watatoa majina ya watu walio omba kupitia mature age entry.........mpaka leo hakuna tangazo lolote khs admission ya mature....wakati chuo kinafunguliwa soon tu hapa.
 
mkuu haya mambo sio lazima kuja hadi huku unaweza ukapiga simu chuoni au ukaenda physicaly wud be better
 
hi wadau naomba msaada wa kujua lini udom watatoa majina ya watu walio omba kupitia mature age entry.........mpaka leo hakuna tangazo lolote khs admission ya mature....wakati chuo kinafunguliwa soon tu hapa.
Angalia website yao tena,wametoa majina ya wale waliofanikiwa kupata mkopo tu!
Sina uhakika equivalent na mature age entry kama wamo make nimeangaza majina yote la kwangu halimo!(Equivalent applicants)
 
Wanafunzi wa udom hawana akili timamu. Kila kitu wanakuja jf. Upuuzi mtupu.
 
Wanafunzi wa udom hawana akili timamu. Kila kitu wanakuja jf. Upuuzi mtupu.
Kwan JF ni ya watu gani?. We ndo mpuuzi zaidi kwani unaleta ubaguzi ndani ya jamii!
Akili yako ya kukariri kua watu flani ni muhimu kuliko wengine ndo inakufanya useme usiyoyajua!.Usilolijua ni bora ukae kimya Mzee kwan umewapima na kujua akili zao kua sio timamu?.Juha usituletee ujuha wako hapa tafadhali! Kaa kimya!.
 
punguza ujinga wewe ni mwanafunzi timamu kweli...huu ni mtandao wetu vjana wa kupashana habari mbalimbali zinazo husu maisha yetu ya kila cku ulitaka habari za udom tupate wapi kwn mtandao wao hawakuweka atleast hata izo fununu za kuitwa chuo nami nipo nje ya dodoma.....punguza kukurupuka,alafu inasikitsha sana huu ni mtandao wa great thinkers kilaza km wewe umeingiaje huku.
 
we kilaza unajivunia nini....km ni kusoma kwn ivyo vyuo unavyofikria hata mimi nimesoma na sasa nipo udom nafanya degree nyigne unachojivunia nini wewe mjinga na helimu yako ya kudesa.....tupa kule
 
Ukistaajabu ya musa utayaona ya filaun na mkumbuke ya kwamba a toad cannot run on a day time for nothing na kila problem come with gift so acheni malumbano kila m2 amaind his/her own bussness.wa2 2napanga mikakati ya kupata GPA kubwa nyie mnarushiana madongo kavipi fungeni hizo akaunt zenu.lets think positevely kujenga Taifa letu
 
lazima utakua unapga ngwini kaka, unalala unaota gpa, ha ha ha haaa! Mimi nafikiria kutengeneza software mpya, college naenda kuchukua theories tu na hawajawahi kunikamata jst passin mark it's done! Mangwini bhana!
 
Udom wanafata mtaala wa nchi gani? No field, wanawahi kufunga chuo, wanachelewa kufungua. Bodi wanapoteza pesa zao kuwathamini wanafunzi wa udom. Hakuna shule kichwani. Wanatamani kufungua chuo wakagome.
 
we kilaza unajivunia nini....km ni kusoma kwn ivyo vyuo unavyofikria hata mimi nimesoma na sasa nipo udom nafanya degree nyigne unachojivunia nini wewe mjinga na helimu yako ya kudesa.....tupa kule

na wewe si ndio walewale.
 
Jamani hizi taarifa wale wa 1 year to come c mnawatisha na kuwakatisha tamaa maana baadhi wapo na furaha wamepata udom halafu akiona hizi comments.........pliiiz semeni we are just kiddin.Kwa wale wote wanaoongelea facts kuhusu udom.Ila hatuwezi kunyamaza lazima tuseme maana pesa nyingi inatupwa pale kwa ufundishaji zero na yaliyosemwa hapo hata kama inaudhi ndo ukweli ulivyo siku zote lazima uume na waliochaguliwa udom wote wapo kitaa wananung'unika hivi ni kwanini???......jiulize mwana udom.
 
Last semister kuna Mzee mmoja aliitwa kwenda Udom kufundisha Basic Computer Application college of Education. Mzee mwenyewe alisoma B.sc Edu, mlimani ktk miaka ya sabini. Hiyo knowledge ya computer amejifunza mtaani. Anasema vipindi vyake vinajaa wanafunzi wengi computer chache moreover kozi iliyopangwa kufundishwa kwa semister nzima yeye alifundisha kwa 2weeks. Hapa kuna shule???
 
Back
Top Bottom