Naombeni msaada wa kufungua PayPal account

bioto

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
1,261
2,095
Wakuu Salam kwanza nawapa hi wote, Kama title inavyosomeka naombeni mnisaidie kufungua account PayPal nimeng'ang'ana ngoma imenigotea...tafadhali
 
Ya kutuma ama kulipia unaweza kufungua vipi ?
Mpaka uwe na laini ya Safaricom Kenya mkuu, jamaa kakuelekeza vizuri kwenye comment ya hapo juu. Kama una laini ya Safaricom hakikisha una rafiki Yako yeyote unayemwamini ambaye Yupo Kenya mwambie akufungulie Account huko alafu akupe login credentials, na mambo mengine jinsi ya kukutumia pesa zako zikiingia kwenye Account mtaelekezana.

PayPal ya Tanzania unaweza kuitumia kununua bidhaa mtandaoni, ila haiwezi kupokea pesa.
 
Hata hiyo ya Kenya ukiahapokea payment tu PayPal wana block account yako wakitaka uthibitishe biashara unayofanya, national ID, na uthibitisho wa makazi
 
Una register tu kwenye PayPal.com
Nahitajika niwe na nini ili nijisajili mkuu.

Kwa sasa mishe zangu za kulipia tu huko paypal.

Hivyo naombeni msaada nafanyaje na niwe na nini ili nifungue akaunti ya kulipa tu na sio kupokea.
 
Hata hiyo ya Kenya ukiahapokea payment tu PayPal wana block account yako wakitaka uthibitishe biashara unayofanya, national ID, na uthibitisho wa makazi

I can solve this !!!

I have PSD Yao ya National ID
Sioni busara sanaa kuzungumza hapaa!!

PM tutazungumza zaidi kuhusu hilooo
 
naomba niandike kwa herufi kubwa

MOJA UNATAKIWA UWE NA SIMCARD YA KENYA
KAMA UNATAKA KUTUMIA PAYPAL YA KENYA
TENA SIM CARD IWE IMESAJILIWA

UNATENGENEZA ACCOUNT KWA KUTUMIA MAJINA YALIYOTUMIKA KUTENGENEZEA (KUSAJILI) SIMCARD

WAKATI UNATENGENEZA WATAULIZA
KUHUSU
__ADDRESS YAKO
__NAMBA YA SIMU (ambayo ndo hiyoo utakuwa nayo)
__UJAZE ID NAMBA (national au Driving license au passport)

LETS SAY ID NAMBA UNAYO (NATIONA ID)
UKISHAFANYA USAJILI UNALINK PAYPAL NA MPESA,
SO UNAKUWA NA ACESS YA KUTOA HELA KUTOKA PAYPAL TO MPESA AU MPESA TO PAYPAL

NB: UKISHAANZA KUTUMIA HIYO PAYPAL AFTER SEVERAL TRANSACTIONS, WATATAKA U SUBMIT DOCUMENT MOSTLY NI ID ULIYOTUMIA KUTENGENEZEA

WANAWEZA KUOMBA
__NATIONAL ID
__PROOF OF ADDRESS
__BANK STATEMENT

NA WANAKUPA SIKU USUBMI
IMG_6062.png

ACCOUNT WATAIPA LIMITATION HADI UKAMILISHE VITU WALIVYO KUOMBA

IMG_6063.png

cf8593ef-ebbd-4cde-9169-0e787687ee2a.jpg
 
Back
Top Bottom