Naombeni msaada, Rafiki yangu anaangamia

Kula gwala kwa kuwa Mwanaume badala ya Mvulana Mzee Baba [emoji109]
 
Kaangalie mkanda wa "Moses" kwanza uliochezwa na Kanumba ndipo uje uaibike hapa.

NB:

Si kila Mwanamke ni Mke.
 
Big No.
 
Ni bora Aandike majina ya watoto lkn sio ya ndugu... Akiondoka watawadhulumu tu.
 
Endlea na Big No yako

Hakuna mtu atakayemuhudumia na kuwajali mtoto / watoto wako kukuzidi wewe na mkeo 100% tena umeacha mali !!
Yameshatokea kwa Kaka zangu kibao, so usiniaminishe kwa mawazo yako ambavyo nimeshashuhudia mi mwenyewe binafsi.
 
Hapo ni busara tu itumike,cha kujifunza ukishakuwa na mali nyingi unatakiwa pia usiwe mwepesi wa kutoa talaka.....atakama utamfumania mwenzako tafuta njia nyingine hata ya kutokushirikiana naye tendo huku ukijua unafanya nini.Vinginevyo,kama una mali na unadai talaka uwe tayari kugawana mali,na kama una mali ila upande wa mwenzako ndio unadai talaka....unaweza kukataa au kama anataka aondoke,aondoke jinsi alivyo...ila wewe utabaki kusema bado unampenda; kwa sababu unajua kusudi lake ni kutaka mali tu.Inabidi utumie akili sana lasivyo uchumi wako utayumbishwa na kunyanyuka itachukua muda au usinyanyuke kabisa.
 
Kwani kaoa kwakupitia dini gani Aisee mzee dingi
 
Kaka ni kumwomba Mungu pekee akupe hekima la sivyo hizo hizo mali zako zitakutoa roho mapema kabisa.

Rejea visa vingi tu vilivyosababisha Wanaume wapoteze uhai sababu ya kukatalia kuachana na Wake zao akiwemo yule traffic police sajenti aliyeuwawa 2015 akacha Mkewe na watoto wawili...[emoji24]
 
Yameshatokea kwa Kaka zangu kibao, so usiniaminishe kwa mawazo yako ambavyo nimeshashuhudia mi mwenyewe binafsi.
Kumbe kwa kaka zako..... Ninachokisema kimenitokea mwenyewe.
Kaka zako na wake zao wa ndoa wamebahatika kupata watoto then mashemeji zako wakaanza kulilia mali bila kujali ustawi wa watoto zao ? Basi kaka zako walikutana na vyangudoa na kesi za ndugu kudhurumu mali za mayatima ni nyingi sana ukilinganisha na kesi za wamama walio ndani ya ndoa + watoto kuzitaka mali hizo kwa njia ovu ukizingatia mali ni za watoto wao.
 
Nakubaliana nawe;ila kabla hajafikia huko akutanishe wazee kwanza....au kama ni watu wa ibada waende wanakoabudu kutafuta usuluhisho (kiimani);kuachana ni mchakato
 
Ni bora Aandike majina ya watoto lkn sio ya ndugu... Akiondoka watawadhulumu tu.
Binadamu tumeumbwa na tamaa, mimi mwenyewe nitadokoa haswa nikijiona jua limeshaniwakia utosini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚......... Unaanzaje kutumia jina marehemu mama yangu kwenye mambo yako utalipa tu. Chaguo ni moja tu unampa kisu mkeo ashike mpini ili awaangamize watoto wake kitu ambacho ni kigumu kutokea 98%
 
Hii ya kugawana mali nusu kwa nusu huwa inatoka wapi au ni sheria ipi maana Law of marriage Act haijasema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…