Naombeni msaada, nimetapeliwa

Ulikua ni mpango mbovu kwani wangepata Hela kiasi gani, mitandaoni ni wajasiliamali wadogo wadogo tu
 
Wakupe mkopo wako,mmalize kwa namna hiyo😂Ila ujue mjini shule 🏫,shamba darasa 🏃🏃
 
KUTANA NAMI TATIBU CHINDO, Ni mbobevu wa tiba dua na dahwa kwa wale wenye shida mbali mbali za afya na hasa kwa walio dhurumiwa ama kuibiwa na hata kwa upotevu wa mali, ni ndani ya siku tatu(3) mali yako inakua imerudi mikononi mwako.

Karibu PM kwa maelezo zaidi.
Njoo ukiwa serious.
 
Dah Wale wale tena
 
duh na wewe tena unataka umtie maumivu, haya ngoja aje pm.
 
Kama hapan nilikosea wap View attachment 2665364
Umewahi kufika kwenye ile michezo ya karata 3 au 3 Chafu ? Km hujawahi karibu Mjini hao wanaitwa Scammers wapo wa masuala ya kazi huko FB wamejaa hatari na hawachukuliwi hatua yoyote na wanaiba kila siku wanatapeli watu ukiona comments ni wao wenyewe wanacomment kujenga uaminifu kwa victims, hapo jipige kifua alafu sema Mimi ni mjinga nimeingizwa Mjini ukiweza nenda kawaroge
 
Ndio wanafanya hao wakopeshaji MATAPELI Na sasa wapo wengi Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…