Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,909
- 31,700
Tafuta wataalamu wa jadi wakusaidie.Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
Tuwe serious kidogo, jamaa atakuwa amechanganyikiwa jamani, decemba hii utapeliwe acheni utani kwenye mambo magumu kama hayo. akitulia atasema yote yaliyomsibu.
Lipia TangazoTafuta wataalamu wa jadi wakusaidie.
Kama upo dar nenda buza kanisani kamtafute mtu anaitwa Mwandulami akusaidie.
Ddaaahhuyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Usikute hata hayo maji kayatapeliii
Kwani mkuu wewe ni mcha MUNGU au mpagani? Kama.wewe ni mcha MUNGU basi mkabidhi yote atafanya kwa ajili yako, ila kama wewe ni mpagani kwani hujawahi kumsikia babu wa Radi kule Sumbawanga? Nenda ukawanyooshe, Mshana Jr hapa atakutapeli tu, ha ha haaaa!!Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
Sasa wewe mkubwa unalipia gari hata hujaiona? Mnapenda sana kutapeliwa!Sio Kwamba sijaenda nimeishaenda boss
Umemwambia ukweli, binafsi huwa siamini mtu anayeweka miwani kwa juu hata awe na umri sawa na wa baba yanguYaani ukafanya biashara na sura kama hizo
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli
Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
Huu ni ushauri mwanana. Kimbia bank fasta kawaambie ili hiyo account waangalie transaction zake , then kimbilia pia polisi. Ukianzia polisi unaweza kuchelewa japo kuna posibility ya polisi kupiga simu bank. Ila pia tumeshachelewa sana kushauri. Ila pole mkuuFanya mpango kazuie zile pesa ulizoweka kwenye acc.
Pia kuwapata au jaribio la kuwapata tumia mbinu uliyotumia kuanza nao mapatano kwa connection zote.
Pole though uzi haujaji dadavua!!
Hii comment yako na watu waliokupa hizo likes yaonyesha jinsi gani hamjui vile inauma kutapeliwaSasa wewe badala ya kwenda police unakuja kushitaki humu kwa Melo
Na hiyo gari hewa ndio gari gani umeuziwa ikiwa kwenye puto au vipi
Jamaa mwenye miwani amekaa kama anasikilizia machine iweze ingiaWanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.