Naombeni msaada nimechanganyikiwa

pole sana mama, em njoo pm nadhan yale maombi yako yamejibiwa
 
Ungekuwa mlokole kweli uliyejengwa katika misingi ya kuomba na kusoma biblia wala hata usingesubiri uambiwe hyo maneno na mchungaji mana biblia yenyewe imekuelekeza hivyo we mtu ....we mtu imani yake haiamini katika ufufuko we we unaamini hivyo je mtafungwa nira moja katu haiwezekani...ila kwa vile mabinti sasa wako desperate na ndoa jua linazidi kuzama si ajabu kusikia umeamia huko ili muweze kuongea lugha moja.
 
Achana na mafungamano ya dini yasio na tija mama.. Mungu kabla hujamkuta kanisani tayari yuko ndani yako, imani hutoikuta kanisani kama moyoni haiko....!! Olewa uachane na uasherati. Baada ya hapo endelea kusali wakikutenga Mungu ndo atakua karibu zaidi nawe amini na tayari yuko nawe
 
Hakuna ndoa ya muislam na mkristo. Wewe dada utaolewa na huyo muislamu lakini baadaye utakuja kuelewa nini maana ya mausia ya wachungaji wako.
Amua moja kuungana na imani ya mchumba wako uwe muislamu ama umshawishi yeye awe mkristo abatizwe mfunge ndoa.
Kwa sasa unaongozwa na mihemko ya mapenzi kwani kwako ukristo hauna tija sana (kuokoka kwenyewe nimeokoka ukubwani).
Kuwa makini sana na utafakari mno.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Ulokole siku hizi umekuwa kichaka cha mabinti wasaka waume.....hivi mlokole aliyeiva katika imani anaanzaje mahusiano iwe na mtu wa imani yake au hata wa imani nyingine?...huyu binti kaamua kutuuzia chai tuu na kuchafua imani za watu.
 
Hiyo tafsiri ya mtu asyeamini ni ya uongo. Biblia haijasema mtu asiyeamini ni mwislam au mtu asiyempokea Yesu. Huo ni uongo!
Pia kifo cha msalaba ni laana biblia imesema!

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Rudi kwenye hoja usipende kuyachokoza mashetani wakati huwezi kuyakemea.
Biblia ni sahihi kwa wakristo kama Quran ilivyo sahihi kwa waislamu. Imani hizi haziwezi kupatana katu hivyo usalama wake ni kutokupatana.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo yeye hajui hadi apewe mistari ya biblia?. Amekuja kuuliza hapa kiunafiki tu huyu binti si mlokole mdokolewa hata chupi alishavua mbele ya muomani huyu. Asitupotezee muda maana ukweli anaujua na Mungu ndiye atakayeamua juu yake siyo sisi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Naona unatokwa povu badala ya ushauri, kama vipi pita kimya sihitaji mapovu ila ushauri

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Basi kuna ukweli fulani mbona wakasirika.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Natamani nikuongezee like, umempa makavu.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana kama umeshauriwa na viongozi wa dini achana naye, achaneni kwa amani mifano ipo mingi sana mwingine alishauliwa na padre akamjibu utanioa wewe baba wa watu agagwaya waliishi miaka 2 na katoto 1 walivyoachana huwezi amini atamshitaki wapi sahizi anajiuza tu wewe kaa chini muombe Mungu atakutua mzigo watu mpaka kufikia ndoa ni kujifunga wewe mshukuru Mungu yawezekana ni tamaa za mwili zina kusukuma hakuna kingine

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: THT
Ndo wale wanavalia suruali fupi na kufuga ndevu?
Tafuta wa dini yako over

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

Yaani mtu anakushauri unasema anatokwa povu?? Utaukumbuka ushauri wake soon. Kaolewe kwanza maana ndio unataka ushauriwe sawa sawa na utakavyo
 
Hamna kitu kinasumbua sana kama kutafuta ushauri hasa kama huo wakati tayari una maamuz yako nafsini.......kwahyo its like you just wanna some people to support you.....openly Madam mpaka umefika huku kuomba ushauri tyr una mgogoro wa nafsin kifupi huna amani na hilo....make its over sababu ye aliye tayr ipoteza nafsi yake Kwa ajili ya kristo ataipata lkn atakayeilinda ataipoteza.....anza upya utapata Mwingine......Jikaze kubali poteza Kwa sasa kile nafsi yako imekishikilia.....hutajutia maamuzi hayo

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
unaolewa ww so ww ndo unatakiwa ujue nn unataka na sio padre
cha msing chunguza ndugu zake(wazaz wake) kama wanakubaliana ww kuolewa na kijqna wao
coz unaeza pata majanga hata kufiwa na mmeo then ukakosa msaada upande wa kiumen kisa hawakuwah bariki mahusiano yenu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: THT
Mkuu THT.
nini maana ya ndoa ? Ni muungano wa hiari kati ya me na ke wa kuishi pamoja na kusaidiana ktk shida na raha mpaka labda kifo kiwatenganishe,sawa ?
Sasa kwa nini msichukuane na kuishi kienyeji tu ? sababu ni kwamba mnataka BARAKA za YULE MWENYE UWEZO na ASIYEWEZWA ambaye amesema msizini(hapo imani inahusika kwa pande zote,uislamu na ukristu, labda mpagani ndo haingii hapo).
Tayari wewe unaamini ktk ULOKOLE na utafanya vile MUNGU wa ULOKOLE anavyotaka ili kupata baraka zake,vipi sasa unafunga ndoa na mtu asiyeamini ktk ulokole ? Hiyo ndoa itafungishwa na kiongozi yupi wa kidini ? Alafu itapata baraka ya MUNGU ktk imani ipi ?
Eidha wewe ubadili dini umfuate imani ya me au me abadili dili afuate imani yako VINGINEVYO HAKUNA NDOA YA MUISLAM NA MKRISTU kama kweli mna imani thabiti ktk dini zenu

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Tatizo lenu kila kitu kwa baba mchungaji, nafikiri suala la ndoa ni suala lako binafsi, fanya maamuzi wewe mwenyewe kusudi kesho usije laum mtu. Usipende kufanyiwa maamuzi katika masuala yanayohusu maisha yako
 
Sitaki nije nikuponze. Una umri gani? Kama una 26 and below you can decide on anything, ila kama uko above najiuliza tu kwa nini huyo mwingine hajapatikana mpaka sasa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…