gsmsolution2009
Senior Member
- May 7, 2013
- 120
- 7
Nina ndugu yangu askari wa central wamemchukua tangu juzi wamemweka lupango tangu juzi tunahangaika hawataki kutatajia namba ya jalada ya kesi wala kututajia mpelelezi wa kesi na hawataki kumpatia dhamana wanafanya hivyo kwa sababu wako karibu sana na aliyefungua kesi ya madai kwa sababu wanazojua wao wenyewe ila kitu ninachohisi ni kuwa hata jalada halijafunguliwa wamemweka ndani hivi hivi.
Naombeni msaada nifanye nini ili aweze kutoka?
Naombeni msaada nifanye nini ili aweze kutoka?