Naombeni msaada nataka ninunue gari kutoka Zanzibar

Naombeni msaada nataka ninunue gari kutoka Zanzibar

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Wakuu naombeni msaada, mimi niko DSM ila nataka niagize gari kutoka Zanzibar. nilipenda kufahamu gharama za usafirishaji, clearance za TRA hadi ikamilike niitumie huku bara itani cost bei gani? Tafadhali kwa wenye uzoefu wa hivi karibuni wanisaidie.

Gari ninayotakauagiza ni Toyota Noah ya mwaka 1998.
Asanteni.
 
Kusafirisha laki tatu, TRA angalia gharama ambazo ungetakiwa kulipa ikiwa umeagiza nje ya nchi then toa (minus) gharama iliyolipiwa Zenji.
 
mkuu tufahamishe kwa faida ya wengi
Inategemea ni gari gani.Unajua Agents wengi muhim wao wakijua ni gari gani inakuwa rahisi kwao kukupa Bei.
So,nikijua aina ya gari kuna mtu nikuulizie upate bei yake.Ni Estimated Cost mpaka kuitoa gari nje Bandari ya Dar
 
Kaka Probox Dx Ya 2007 ina'cost kiasi gani Mpaka kuichomoa bandari Ya Dar..
 
Haya Pangeni Magari yeenu kisha kesho niwaulizie.
-Wanaotaka kujue Bei za Magari husika
-Wanaotaka kujue gharama za kusafirisha na kodi zote hadi kutoa Dar.

Angalizo:-Mie sio Agent ila naulizia kwa Agent ambae niliwahi kuwa namtumia kwenye Vi Carry vyangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom