Habari wakuu
Nataka kununua gari kwa mtu (used) iko Zanzibar, naomba kujua gharama zake hadi naanza kulitumia huku bara
Gari yenyewe ni Klugger ananiuzia kwa 9m.
Naomba kujua aina ya tozo zote kuanzia huko Zenji makadirio ya usafirishaji na tozo zote za huku bara hadi naanza kulitumia inaweza kuwa kiasi gani?
Asante