Amelogwa na nn akili za kichadema hiziHabarini wana jamvi
Mimi na mke wng tuna mtoto mmoja sasa amekua miaka 8 nahitaji mtoto wa pili
Sasa kila akishika mimba inavyofikisha miezi miwili inatoka
"Nakumbuka ya kwanza kabisa kutoka mtoto alikuwa na miezi 3 alifia tumboni wakati sisi tunajua mimba ina miezi saba tulivyoenda utra sound tukaambiwa mtoto kafariki akiwa na miezi 2. Tokea apo zinazofata mimba ikifika mwezi tu akienda chooni anatokwa na mabonge ya damu mimba zinaharibika .
Tukikaa mwezi 2 anashika mimba vizuri kabisa ikifikisha mwezi au miezi 2 inatoka
Naombeni msaada wana jamii nawaomba sana kama kuna mwenye mawazo utaaalamu
Imefika hatua mke wangu anasema amelogwa
Na Pole sana.Habarini wana jamvi
Mimi na mke wng tuna mtoto mmoja sasa amekua miaka 8 nahitaji mtoto wa pili
Sasa kila akishika mimba inavyofikisha miezi miwili inatoka.
"Nakumbuka ya kwanza kabisa kutoka mtoto alikuwa na miezi 3 alifia tumboni wakati sisi tunajua mimba ina miezi saba tulivyoenda utra sound tukaambiwa mtoto kafariki akiwa na miezi 2. Tokea apo zinazofata mimba ikifika mwezi tu akienda chooni anatokwa na mabonge ya damu mimba zinaharibika.
Tukikaa mwezi anashika mimba vizuri kabisa ikifikisha mwezi au miezi 2 inatoka
Naombeni msaada wana jamii nawaomba sana kama kuna mwenye mawazo utaaalamu
Imefika hatua mke wangu anasema amelogwa
Hii Kuna doctor mmoja aliwahi kuniambia, inabidi jamaa aende hospital kufuatilia hiki kitu.Mm nakuja nje ya box kidgo Wataalamu wataongezea .
Kuna issue inaitwa Rhesus factor (Rh) ambayo kila mmoja wapo anayo yakwake .
Inasifa hizi mwanamke ndio anayebeba kiumbe tumboni mwake katika damu yake ana (Rh) yakwake na kiumbe kinachoingia tumboni huwa na (Rh) ambayo inatokana na mchanganyiko wa baba na mama
Ikoje ?
Ikitokea Rh ya mtoto aliyetumboni ikaenda kinyume na Rh ya mama kwa mara yakwanza uwezekano wa kujifungua mtoto salam ni asilimia 100%
Baada ya kujifungua nini hufanyika
Akijifungua ubongo unabeba kumbukumbuku kuwa kuna kiumbe kilikuja katika mji wa mimba kikavamia matokeo yake ,mwili wa mama unajenga kinda kuja kupambana na hali ya kiumbe kinachokuja kwa wakati unaokuja .
Mimba nyingine nini hutokea?
Baada ya mama kubeba mimba ya pili na Rh ya mama na ya mtoto kwakua hazifanani mwili unaamulu kukiua kiumbe kile mwili ukijua kuwa hiki kiumbe si salama kwa mama .
⚠️ jaribu kufika kujua Rh zenu na uchunguzi zaidi .
Hapo panahitaji MaombiHabarini wana jamvi
Mimi na mke wng tuna mtoto mmoja sasa amekua miaka 8 nahitaji mtoto wa pili
Sasa kila akishika mimba inavyofikisha miezi miwili inatoka.
"Nakumbuka ya kwanza kabisa kutoka mtoto alikuwa na miezi 3 alifia tumboni wakati sisi tunajua mimba ina miezi saba tulivyoenda utra sound tukaambiwa mtoto kafariki akiwa na miezi 2. Tokea apo zinazofata mimba ikifika mwezi tu akienda chooni anatokwa na mabonge ya damu mimba zinaharibika.
Tukikaa mwezi anashika mimba vizuri kabisa ikifikisha mwezi au miezi 2 inatoka
Naombeni msaada wana jamii nawaomba sana kama kuna mwenye mawazo utaaalamu
Imefika hatua mke wangu anasema amelogwa
Asante sanaUkifatilia vyote ulivyoshahuriwa, na mkeo akibeba ujauzito tena jaribu kubadili mazingira ya kulea ujauzito wa mkeo
Sio kuhusu uchawi/kulongwa hii najaribu kuelezea natural ya mazingira, kumbuka nimekwambia baada ya kufata ushahuri hapo juu, umuone doctor na shauri zingine then mkeo akipata ujauzito , muamishe na mazingira yenu ya kila siku alee ujauzito wake tofauti na hayo maeneo
Pole sana Mributz na mke wako kwa changamoto hii kubwa mnayopitia. Ni jambo la kuumiza sana kupoteza ujauzito mara kwa mara, na inaeleweka kabisa mke wako kuhisi kukata tamaa au hata kufikiria mambo ya kishirikina.Habarini wana jamvi
Mimi na mke wng tuna mtoto mmoja sasa amekua miaka 8 nahitaji mtoto wa pili
Sasa kila akishika mimba inavyofikisha miezi miwili inatoka.
"Nakumbuka ya kwanza kabisa kutoka mtoto alikuwa na miezi 3 alifia tumboni wakati sisi tunajua mimba ina miezi saba tulivyoenda utra sound tukaambiwa mtoto kafariki akiwa na miezi 2. Tokea apo zinazofata mimba ikifika mwezi tu akienda chooni anatokwa na mabonge ya damu mimba zinaharibika.
Tukikaa mwezi anashika mimba vizuri kabisa ikifikisha mwezi au miezi 2 inatoka
Naombeni msaada wana jamii nawaomba sana kama kuna mwenye mawazo utaaalamu
Imefika hatua mke wangu anasema amelogwa
Asante sanaPole sana Mributz na mke wako kwa changamoto hii kubwa mnayopitia. Ni jambo la kuumiza sana kupoteza ujauzito mara kwa mara, na inaeleweka kabisa mke wako kuhisi kukata tamaa au hata kufikiria mambo ya kishirikina.
Lakini ningependa kuwatia moyo msikate tamaa, na kabla ya kufikiria uchawi, tafadhali sana jaribuni kutafuta ushauri wa kitaalamu wa kimatibabu zaidi.
Mmeona daktari gani hapo awali? Huenda ikawa kuna sababu za kimwili ambazo zinaweza kutibika. Kwa mfano, kunaweza kuwa na masuala ya homoni, matatizo kwenye mfuko wa uzazi (uterus), au hata masuala ya kijenetiki ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka mapema.
Nawashauri sana mtafute daktari bingwa wa masuala ya wanawake (gynecologist) ambaye ana uzoefu na kesi za mimba kutoka mara kwa mara (recurrent miscarriages). Wanaweza kufanya vipimo vya kina zaidi, kama vile ultrasound maalum kuangalia mfuko wa uzazi, vipimo vya damu kuangalia homoni, na hata vipimo vya kijenetiki kwa wote wawili.
Ushauri wa kutogusana miezi ya mwanzo ni mzuri kama tahadhari, lakini hauwezi kutatua tatizo la msingi kama lipo. Maombi ni muhimu sana na yanatia nguvu, lakini pia ni muhimu kuunganisha na jitihada za kimwili za kutafuta suluhisho.
Msiache matumaini. Kuna wanawake wengi wamepitia changamoto kama hizi na mwishowe wamefanikiwa kupata watoto. Mungu awatie nguvu na kuwapa hekima katika kutafuta suluhisho.
Kacheki Rhesus Factor.Kama anayo atatumia sindano ya Ant DHabarini wana jamvi