Naombeni msaada kurudi bongo

Yaani comment za humu ni kumwaga tu chozi kwa kicheko,watu mna hasira kali na huu mzee,huyu mzee kiukweli kama amaekuwa ana kaushamba flan hivi,sijui kaongea utumbo gani hapo,au kamaanisha U$D 1.8 Mil?
 
Wangapi humu mliopo Tz mna savings 4.4m kwenye akaunti zenu? Ndugu yangu maisha kama yamekushinda huko rudi Tu. Akili yako na afya njema vinatosha kufanikiwa.

Wanavyohesabia mwenzao miaka,tukitumia kipimo hicho hicho kwao sijui km patakalika hapa
 
Asante Mkuu kwa kunielewesha asee. Thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…