Sawa unavyomshauri, lakini marafiki wangapi watambeba kwa 100% yeye pesa yake awekeze yote?! Kumbuka anayo $1800 tu!, anamahitaji ya nauli ya mizinguko yake na mambo yake binafsi. Ni ngumu kumpata, ingawa ndugu wanaweza kujaribu, kumu accomodate but won't be 100%. Kunagharama atazibeba mwenyewe. Hata chinga huja kutoka mtwara, bila ndugu Dar na wanafanikiwa, hata akilala nje kwa muda, he will make it, he should be able to handle difficulties like wengine.
Anaanza tu vzuri huko nje michosho tuMzee anaanzaje upya.. Huyo abaki tu huko
Hahaha...ni kweli.Siku hizi nimekua nunda aibu sina tena lol,I guess ukikaa nje zaidi ya miaka mitatu au minne then ni bora ubaki huko huko,unakua umepoteza logistics AMA coordinates za bongo,Ila kumiss bongo kupo bwana wee..hakuna hela Ila watu wako peace,ughaibuni kuna hela Ila watu wako stressed,itβs your choice unataka nini lol...Daby wewe ulikaa baada ya muda gani?
Kapotea haonekani kwa mada.Mzee anaanzaje upya.. Huyo abaki tu huko
Umeitoa wapi hii 1500?
Bongo kuna wanawake wanaoa? Mbona vijana MMU wanalalamika saana?
51?? marioo husimamia kucha mwenzetu kaisha hayawezi hayo.Nahisi hujamuelewa, amemaanisha mwanamke wa kumlea awe marioo,yaani utasikia kila kitu humu
Mimi nipo hapa samaki.....nachakaza half a million....nipo na totoz zangu...Hela ya budget ya gambe hyo kwa wengine
Ova
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] Daah! Mpe ushauri na uzoefu mwenzio.Bora yako wewe mimi nilirudi na rasta na tattoo kutoka south
Maisha haya..!
51?? marioo husimamia kucha mwenzetu kaisha hayawezi hayo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nipo hapa samaki.....nachakaza half a million....nipo na totoz zangu...
Labda auze karanga....ama anunue boda boda moja.....aendeshe mwenyewe....Labda kuwa constructive mumsaidie biashara gani anaweza kufanya kwa kiwango hicho cha pesa?
Kweli mpuuzi na zaidi ya mpuuzi, miaka 16 ughaibuni unasevu 4 milion? Halafu hiyo ndo afanye nauli. Labda awahi msimu wa korosho akaanze kubangua.Jamaa mpuuzi sana huyu....anajua bongo pamechoka....hiyo 4.1 Mil...watu wanagigidia bia....na ipo kwenye walet
Asee, Mke wangu ni wa hapo hapo Gonja,Gonja, upareni
Urudi sasa hivi kabla hiyo miaka haijafika hapo....Utaficha wapi sura yako?
Hahaha...ni kweli.
Sijajua nitakaa kwa muda gani.
Ila unaweza kukaa huku bado unaconnection ya kutosha na bongo. Kuna wale wakishaondoka ndiyo wameondoka hawa ndiyo huchanganyikiwa.