Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
1800 na nauli humo humo bora ubaki hiyo million nne ndugu na unataka maisha ya juuHabari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Pole sana ndugu upo ulaya jina huku unatesekaSikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Yaani una 4m tu halafu nyodo kibaoGonja, upareni
[emoji23][emoji23]Umemcheki Le Mutuz akupe maujanja? Nunua kitabu chake utajifunza kitu.
Huyu huyu PAKA tumjuaye ?[emoji16][emoji16]Sorry mzee dereva nilitaka kukuambia tu kwa hela uliyonayo bongo hata hiyo nafaka hasa mchele hutakula utakula mihogo na maji kila siku mwisho wa siku utakuwa mnene Kama Kagame.
[emoji28][emoji28]Anatuangalia anasema hiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sure!! Ile kanuni kwamba mjini shule inaweza kumsaidia! Sema dah! Sipati picha anadondoka home halafu ndugu wote wanajua jamaa kadondoka na "Boeing" huku wakiwa na matumaini kitu cha Range na BMW kinadondoka njia panda ya kwenda Zanzibar hivi punde kumbe!!Huyu bora arudi nyumbani tu na vile amekaa dunia ya kwanza amejifunza mengi akija kutumia kiakili anatoboza tu vzuri Bila shida yoyote kabisa. Kuliko aendelee kuishi kwa tabu
Mkuu hata huko kuna aldhi utazikwa tu bola uwatumie kiasi ndugu zako tu. utadhalilika sana ukirudi kwa mtindo huo.Sikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.