Naombeni msaada kati ya hzi masters course;

Naombeni msaada kati ya hzi masters course;

Wakuu habari zenu,
Kwa wale wataalam wa mambo naomba msada wenu hivi kati ya hizi postgraduate course ipi nzuri ya kusoma naplan nianze mastarz next year.

1. Msc in Finance & big data analytics
2.Msc in Financial modeling & optimization

Naombeni msaada na ushaur hapo nisome ipi?
Jiulize swali kwanza wwe mwenywe unataka nini kabla hujaja kuomba ushauri umu coz as a matter of fact it seems hujui nn unataka wewe mwenywe. Kuomba ushauri sio jambo baya but watu watakushauri basing on what they want and not what u want unaeza kufata mawazo yao badae ukamaliza kusoma usione msaada ukaishia kujuta just chill mpk mwakani jichunguze am sure utafkia muaafaka wa nini unataka
 
Nje ya Mada ila samahani sana
FB_IMG_1570813867987.jpeg
 
Back
Top Bottom