Naombeni msaada jamani

Chelian

Senior Member
Oct 1, 2012
107
40
...Kuna ndugu yangu anaumwa,
ugonjwa wenyewe ndo umenifanya niombe msaada huku,
kila akifanya mapenzi na mumewe anapata maumivu makali
sana mpaka anashindwa na tumbo linavimba mpaka baada ya muda flan
lakini anaendelea kuwa na maumivu siku nzima au hata wiki,

ameenda hospitali vipimo vinaonyesha ana uvimbe,
ambao pia ni bado mdogo sana,
ushauri wa daktari ni anatakiwa apate ujauzito
ili uvimbe ukue utolewe, au waweza disappear during pregnacy..

sasa atapataje huo ujauzito na wakati hawezi hata kushiriki tendo lenyewe

plz kwa anaejua matatizo haya tusaidie mwanajamii mwenzetu..
 
Pole sana wataalam pamoja na madokta watakuja kukujuza cha kufanya.
 
(kila akifanya mapenzi na mumewe anapata maumivu makali),(sasa atapataje huo ujauzito na wakati hawezi hata kushiriki tendo lenyewe) naona hizo statement zako mbili hapo juu kama zina jichanganya au mimi ndio sielewi wadau?
 
Mwambie awe anaenda kavu kavu, tumbo halitamuuma na ujauzito nao atapata, kama bado anachelewa kupata ujauzito tujulishane mkuu.
 
ngoja nikueleweshe...

akifanya mapenzi anapata maumivu makali,.hospital amepimwa ameambiwa ana uvimbe lakini ni bado mdogo,
anachotakiwa ni apate ujauzito ili huo uvimbe uwe stimulated by tissues ukue afanyiwe operation uondolewe au vile vile unaweza ukaisha akiwa mjamzito..
sasa atawezaje kupata ujauzito iwapo akifanya mapenzi anaumia?..
 
Pole sana, sasa hospitali wamemwambia huo uvimbe wake umetokana na nini? ana uzito na urefu kiasi gani?
 
Pole sana, sasa hospitali wamemwambia huo uvimbe wake umetokana na nini? ana uzito na urefu kiasi gani?

Eti unatokana na kukaa mda mrefu bila kupata mtoto, ingawa ana mtoto mmoja wa miaka mitano..
urefu wa kawaida ft5 na uzito km 50kgs.
 
Eti unatokana na kukaa mda mrefu bila kupata mtoto, ingawa ana mtoto mmoja wa miaka mitano..
urefu wa kawaida ft5 na uzito km 50kgs.
Okay, mi kwanza huwa siamini kama kweli kukaa muda mrefu bila kupata mtoto kunaweza sababisha uvimbe kwa mwanamke!. Mwambie asishiriki tendo la ndoa kwa sasa kwanza. Yupo mkoa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom