Naombeni msaada jamani

Naombeni msaada jamani

Naombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie.

Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa kike.

Mimi siyo shoga lakini kwasababu ya matatizo yangu haya kuna watu tayari wameanza kunihisi vibaya na wengine kunitamani kabisa kama mtoto wakike, mpaka kwasasa najisikia aibu ya kutembea mtaani kwetu, nakaa ndani usiku na mchana.

Ningelikuwa na uwezo ningelikwenda uko Uturuki kupasuliwa lakini maisha yangu ni bandika bandua tu.

Kama kuna yeyote anajua dawa naomba anisaidie jamani.
Oa half anza kupanga bajet mara kununua nepi mbona yataisha tu.
 
Ungekuwa Jeshini T*k*Lingekwishwa Chap Chap
Kuna Zoezi La Kukwepa Ndege, Hapo Unakuwa Unakimbia Halafu Unapokwepa Unatua Na Mat*k* Wiki Tu
 
Back
Top Bottom