Naombeni msaada jamani

Naombeni msaada jamani

Naombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie.

Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa kike.

Mimi siyo shoga lakini kwasababu ya matatizo yangu haya kuna watu tayari wameanza kunihisi vibaya na wengine kunitamani kabisa kama mtoto wakike, mpaka kwasasa najisikia aibu ya kutembea mtaani kwetu, nakaa ndani usiku na mchana.

Ningelikuwa na uwezo ningelikwenda uko Uturuki kupasuliwa lakini maisha yangu ni bandika bandua tu.

Kama kuna yeyote anajua dawa naomba anisaidie jamani.
Kuwa mtu wa mazoezi. Nadhani ndo best solution. Chakata mbususu kama huna akili nzuri...wanaokucheka pita na wapenzi wao...Jiamini
 
Naombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie.

Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa kike.

Mimi siyo shoga lakini kwasababu ya matatizo yangu haya kuna watu tayari wameanza kunihisi vibaya na wengine kunitamani kabisa kama mtoto wakike, mpaka kwasasa najisikia aibu ya kutembea mtaani kwetu, nakaa ndani usiku na mchana.

Ningelikuwa na uwezo ningelikwenda uko Uturuki kupasuliwa lakini maisha yangu ni bandika bandua tu.

Kama kuna yeyote anajua dawa naomba anisaidie jamani.
Punguza kula kula ovyo kwanza.....unakaa ndani unashindwa hata kwenda kukimbia hips zitachomoka hzo hadi ushangae
 
Acha kula kula kyepe mayai fanya mazoezi vaavmabwanga,fanya mazoezi vinginevyo ....uje nikupime
 
ukikaa sana ndani ndo litazidi kuongezeka utanizidi hata mimi dada ako utoke ufanye mazoezi .
 
Fanya mazoezi magumu kama ya kukimbia mipando, cheza mpira na mazoezi mengine utaona matokeo
 
Wakata unatafuta suluhisho acha kuvaa nguo za kubana......Vaa mashati makubwa sana na suruali kubwa uonekane bonge nyanya tu usiyekua kuvaa kuliko kutingisha
 
Wakati nakua alikuwepo jamaa mmoja alikuwa na matiti maziwa kama ya wanawake. Lakini kizuri hapo miaka ya 90 kulikuwa husikii mambo ya ushoga,hata mitandao hii ilikuwa hamna. Kwa hiyo jamaa hana wasiwasi kabisa na maisha wala kulikuwa hamna anaemsakama. Na alikuwa anacheza mpira sana. Na unajua zamani timu A inaweza ikavua mashati na timu B unabaki na mashati kwa hiyo kuna kipindi kinaangukia kwa timu ya yule mwenye maziwa. Alikuwa anavua tu bila shida.
Misemo ilikuwa ni ana hamoni nyingi za kike,kidogo aumbwe mwanamke. Yule jamaa nakumbuka alidate na binti mmoja hivi akampa mimba. Yule binti alijifungua albino. Kwa hiyo ikajulikana mbegu za yule jamaa ni dhaifu pia.
Baadae yule jamaa akapata udhamini wa wazungu wa kwenda kutibiwa Ulaya. Mpaka leo yuko huko.
SIJUI WALIMTAMANI WAKAMUOA WALE KENGE.
 
Pole mzee, ila jikubali fanya mambo yako maisha yasonge.Hapa duniani tunapita so usikose aman
 
Njoo tusaidizane kuapalilia mashamba yangu kwa mwezi mmoja tu utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom