Naombeni msaada jamani, hivi chuo cha Lugalo military medical unapanda magari ya wapi halafu unashuka wapi ili ufike?

brazah

Member
Sep 21, 2017
45
37
Naombeni msaada jamani hivi Chuo cha Lugalo military medical unapanda magari ya wapi halafu unashuka wap ili ufike?
Msaada wenu plz..nataka kwenda
 
Umejiunga juzi ili uje kuuliza kuhusu hiko chuo???? ....

Unaishi wapi au unataka tuanze kukisia unakoishi
 
Msaada wenu plz..nataka kwenda
Bwana mdogo usipate tabu
Ubungo hapo panda gari za tegeta,bunju n.k
Wambie nashuka lugalo
Hiyo ni kambi ya jeshi hakuna kupotea
Au Sema lugalo hospitali
Ilipo hiyo hospitali ndipo kilipo chuo unachotaka kwenda

Au Google location ya chuo itakuja map ambayo inakupa mwelekeo mpaka unafika chuo
Si unajua simu yake ina GPS ambayo inakupa location
Mara nyingi huwa natumia nikiamua kukwepa usumbufu toka kwa watu wasiopenda kuulizwa

Kila lakheri mkuu
 
Axant xn mkuu ubarikiwe
 
Back
Top Bottom